Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Subiri uolewe ndo umjibuTumekusikia
Kweli ila mwanamke akiwa mchafu inakinaisha sana na ni aibu kwanza kwa jinsia yenu mtu kuwa mchafuUsafi ni pande zote
DuuhSi ufanye wewe usafi? Au hauna mikono!!!
Maybe anaogopa akimwambia atajiskia vibaya.Hahaaaa. Eti kama bata. Ukiona hivyo jua na wewe ni mchafu kwa sababu kama ungekuwa unapenda usafi ungeshamwambia abadilike na sio kuja kulalama huku.
Mwambie tu mkuu hakuna gharama yeyote na huenda ikawa hajui kama ni mchafu ye anajionea sawa.
Huwa wanasema ukweli mzuri ni ule unaouma mkuu. Akijisikia vibaya hapo ndio ujumbe utakuwa umefi.ka vilivyo.Maybe anaogopa akimwambia atajiskia vibaya.
Unajua kuna watu wengine feels bad akimwona mtu amejiskia vibaya...Huwa wanasema ukweli mzuri ni ule unaouma mkuu. Akijisikia vibaya hapo ndio ujumbe utakuwa umefi.ka vilivyo.