Wanawake acheni hii tabia

Mkuu... Mimi naona si kweli saana labda kwa upande wako..... 'yaani ukishamvua mwanamke nguo thaman yake inaisha hapana mkuu... Ukiona hivo ujue ulimtaman huyo mwanamke na hukumpenda
 
hyo ilikua mwaka jana , leta mrejesho wa mxisho wa mwaka huu bado mnakutana mlimani cty
 
Hivyo ndiyo inatakiwa, akifanya manunuzi hela yote uliyopanga kumpatia mwisho wa siku unampa nauli tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo hakupendi mkuu na hana ndoto nawewe naongea hivyo nikiwa nina uzoefu na hawa mamanzi, halafu ukimpiga chini atakusumbua mpaka utaona huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…