Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,484
"inatia kinyaa"
Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.
Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
Wengine wakiipata hiyo hela iliyotoka huko wanainusa na kuvutia hisia mkuu.... Kwa hiyo inaweza kuwa inakukera wewe tuu๐Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi anakutolea hukohuko maziwani ikiwa imeloa mijasho na kutoa harufu..... INAKERA SANA HII TABIA.
AbeeePyeeeeeeeeeeeeeeรฉeeeeee.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nimekupa like boss"inatia kinyaa"
Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.
Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
Pyeeeeeeeeeeeeeeรฉeeeeee.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Abeee
[emoji2398]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Abeee
[emoji2398]
Mkuu tofautisha mke wake/ mchumba wake na mtu asie na mahusiano nae."inatia kinyaa"
Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.
Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.
Mkuu tofautisha mke wake/ mchumba wake na mtu asie na mahusiano nae.
.
Wewe unaweza kumtoa makamasi mwanao kwa mikono na usione tabu, ila kwa mtoto asie wako utatafuta kitambaa na tena utakikunja mara mbili ili usiyaguse.