Wanawake acheni hii tabia ina uzi sana wanaume

Kumbe ndio maana unalalama hujapataaaaa! Nilikuwa najiuliza kulikoni unalalama humu hujapata! Kuuumbeeeee! :shock::shock::shock:

Dagna; Hiyo ilikuwa enzi zileeeee za chuo things have real changed?
 
athante....:smile-big::smile-big:
basi kesho stakuja nao wote ,..ntakuja na monica ,sandra na salma tu ..watatu asi wanaruhusiwa..???
stakuja nao wote watano...:frog:

I can't wait may be i will be lucky! Si mwaweza gawana Redds?
 
Nakumbuka nilipokua Chuo demu wangu alikuwa na tabia ya kukusanya wenzake wanakuja hostel mtu nne mpaka tano ivi, nilichukua glass tano nikafungua soda moja na kuwakaribisha. hakurudia tena :eyeroll1: Aibu yangu aibuyake :car:

hahahaaaaaaa we kiboko nimecheka mpaka basi lol
 
ndo unataka kusemaje?
nikisema nimekutana na mwanaume mleviiii pale ilala ..basi ndio mbiooo jf na kuwasema wanaume wooooooote as if wote walev?...na kuandka nyie wanaume achen ulev mpaka mnajisaidia ovyo...utakubali..?asi utasema si wote nenda kamwambie uyo anayehusika?
the same to us
umekutana na msukule wako uko basi mfate kamwambie na siyo kuja jf na kuchamba wadada wote...thou atuikatai izo tabia kuwepo tusichotaka ni generalization zenu.
gud aftanun sir.
generalization MWIKO...specification alowed.

Thats my girl,huu msukule si upotee kabisa,kila tuendako na wenyewe upo??
 
ahh mwenzio wa peps tu wala stumii kilev..poa tutagawana mirinda au peps...umekimbia sana pumzika basi..

Nyinyi hamna gharama mtakunywa pepsi mojamoja, mi nakunywa maji ya kilimanjaro makuuubwa. Si pumziki mpaka nitimize malengo!!!!!
 
Unakuta una date na mwanamke yeye akija yuko na train (marafiki zake) sasa mimi nimekuita tuongee private wewe unabeba mashost wa nini?

sasa kuna ubaya gani hapo! tatizo mnajidai mnatu date kumbe pesa za mawazo umeomba kwa mama! olee wenu mkutane na mimi nitawanyoosha nakwambie, basi ukishamwona men kama huyo yamemkuta, utaona kiti hakikaliki, mara anasimama, anaenda chooni, anamwita waiter wala haagizi! hapo tunajua tumemkamatana vipesa vyake vya mawazo! Kwa taarifa zetu watoto wa mama, tukija hivyo tunakuja full masnonda! ukisipolipa tunalipa wenyewe
 
NILISHAWAHI KUWA NA KIDATE NA MARIA ROZA...UJINGA WAKE AKAJA NA FIRSTLADY...nikawatimulia mbali kama kuku...! :frusty:
 
Back
Top Bottom