Nachoona ni binti mdogo anajifosi kwa kijana..aina tu ya maneno anavyoandika ni mtoto,..mara sijui destiny,only love matters blah blah...kua uyaone wanayoona dada zako lol...kutongoza mwachie mwanaume ndo kazi yake,love sijui ndo kitu gani,kama umemuelewa mwanaume we jilengeshee n behave kike ataingia mwenyeweee like it's his idea.,
Kuja kuambiwa uliniapproach inahusuu lol.,