Mbona sisi watoto Wa wakulima wadogowadogo unatutenga..Sisi hatupaswi kutongozwa??...Halafu kama kujilengesha mi naona bora ujilengeshe mazima tu..Kwani sh ngapi?...Unaweza kutoa hiyo invitation na MTU akashindwa kujiongeza...Kama unataka wanaume wenye pesa shurti ujiongeze maana ushindani mkubwa ukingoja akutongoze utangoja sanaa maana watu wanajilengesha daily. Sema sasa wengine nunda kitu kidogo tu unasikia KWANZA ULINITONGOZA MWENYEWE. Hahahaaaa. Yataka moyo.
Humtongozi perse ila unatoa INVITATION TO TREATY.
Mwanaume hakataagi nyapu
Ukitongozwa na mwanamke
Kuna raha yake bhana
Acha tu
Mbona kibao tu zinakataliwa
Mbona sisi watoto Wa wakulima wadogowadogo unatutenga..Sisi hatupaswi kutongozwa??...Halafu kama kujilengesha mi naona bora ujilengeshe mazima tu..Kwani sh ngapi?...Unaweza kutoa hiyo invitation na MTU akashindwa kujiongeza...
Unamkata liache sasa wakat na yyToka nizaliwe sijawahi kumkatalia mwanamke aliyenitaka kimapenzi hata km muonekano wake ni utata
Wanawake wanajua sn kutongoza
huyo dem cnythia mpigaji kanajifanya kako bot!;insta fb kik nyingi mtu wa kulenga!Wanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your pride aside and follow your heart..
To lose pride over someone u love sio kitu mbaya...
Sasa Unamkuta mtu kakondeana utasema anafanya russian air force diet kumbe ni mawazo ya mapenzi yanampelekesha..Shida yote ya nini sasa
Huyu dada nimempenda gafla aisee..Full mikonfidenga..
We unaichukiliaje hii
Huyo atakua wa hostel mkuu afu huyo mbona kajitahidi kuandika yanayosomeka mkuukaboom huyu dada yupo darasa la ngapi jamani mwandiko gani huo vifupi mpaka sijaelewa
Mkuu ukiona unatongozwa na wanawake ujue una nyota ya kupata kiwanja Makaburini....Ukitongozwa na mwanamke
Kuna raha yake bhana
Acha tu
Huo ujasiri wa hivyo unipite tu mbali, mwanaume anipende mie nitaendeleza pendo hiloMkuu mwanaume Wa hovyo ni hovyo tu..Hata kama yeye ndo atakutongoza still anaweza kukuongelea vibaya..Hata wanawake Wa hivyo mbona wengi tu ila wanaume bado tunakomaa..