nyoka wa makengeza
Senior Member
- Mar 25, 2015
- 114
- 21
Ukiwa umefuatilia utagundua kuwa chadema wamezitupa zile nyimbo zilizokuwa zinahamasisha jamii ichukie ufisadi na mafisadi sasa hivi kumpamba tu fisadi wao
Hapa giza tu!Hapa ni kazi tu