Wanavyuo mavyuoni inawahusu

Wanavyuo mavyuoni inawahusu

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,575
Reaction score
8,329
ImageUploadedByJamiiForums1434969126.601095.jpg
 
Edward Lowassa ndio Mwarobaini wa Tanzania.
 
Edward Lowassa ndio Mwarobaini wa Tanzania.

Mkuu ishia kucoment tu kwenye thread zingine, ukianzisha thread ya ivo haitaduma hata dk 5
 
Edward Lowassa ndio Mwarobaini wa Tanzania.
Watanzania hawataki wafanyabiashara waingie ikulu,na watu wanaokemea rushwa na ufisadi ilhali wanatumia fedha kuingia ikulu!shame on u!jitambue.
 
Edward Lowassa ndio Mwarobaini wa Tanzania.

Niliuliza sijajibiwa, ni utaratibu upi mtu anafuata kuukana uraia wake iwapo ikitokea hautaki?

Niko tayari kuukana uraia wangu na kua raia wa somalia kama Lowassa atakua rais wa Tanzania.

Lowassa hawezi kua mwarobaini wa matatizo haya, kachangia kuyatengeneza.
 
Hahahahaha kwanini?

Ukianzisha uzi humu wa mema ya lowassa hakika hautadumu hata dkk 2 unaondolewa lakin ukiandika mabaya yake sasa! Utapata like hadi za mods
 
Back
Top Bottom