Wanavisasi Mmepigwa Pabaya!

Toa huu uchafu acha hii movies iendelee
Fact haibadiliki. Mnaopenda kushindania vifo jueni kuwa yule anayeshuhudia mazishi ya hasimu wake ndiye mshindi. Hutaki, achana na huu ujinga.
 
Unarudisha nchi kwenye mstari kwa kutoheshimu sheria za nchi. Au kuteka na kuumiza wasiokusujudia ndio urejeshaji wenyewe?
Kwa hiyo vyeti feki walikuwa wasiosujudu?

Doctor Ulimboka aling'olewa meno kwa bisibisi na Koleo,Kibanda aliitolewa jicho,Kubenea akamwagiwa Tindikali,Maji ya Chai alichinjwa kada wa Chadema,Peter mwenyekiti wa kile chama cha mgombea wa upinzani aliuwawa nyumbani kwake!

Je!
Kikwete alikuwa sio Rais?????

Kwendeni zenu na ushamba wa siasa,mmekaa mk8dhani mlizaliwa kuishi kwa shot cuts bila jasho.

Akili za upinzani nyungi ziko kwenye yale Madera ya "Bawachaa"
Safari hii Mungu anatembelea upande huo na kigogo wa visasi amekuwa mfano!
 
Usiwe na wasiwasi pambana uwekwe kwenye kundi la wazuri hawafi kifo hakiwahusu nyie nenda koogwe
 
Mnataka kumuua nani tena
Sass kabla hamjamuua mtakuwa mmepotea
Mungu ndie yuko kazini,atawafyeka mmoja mmoja mpaka Colum ya waliohusika itakapotimia.
Sio lazima iwe leo wala kesho,ila ni jambo balo litatimizwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.
 
Kwa hiyo wakifa hawa wengine Magufuli atafufuka? Au na wewe hutakufa?

Magufuli is gone mazima, wacha kuishi kwenye kivuli cha mfu
 
Alafu wanasahau hata kifo Cha kikatili Cha mawazo mbumbumbu kweli Hawa watu
 
Hasira ya nini, mbona huu mchezo hautaki hasira. Naona umeongea maneno mengi kwa jazba kali. Ni hivi, dhalimu hakustahili kuwe rais wa nchi hii, hutaki jinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…