Wanavisasi Mmepigwa Pabaya!

Mkuu ile mada yako nzito juu ya Uchunguzi pindi Rais anapofariki madarakani,huwa naipitia kila siku.Watu wanatamani maneno waliyoongea yarudi mdomoni mwao lakini wapi,too late!
Nimekuelewa sana!
TumaniEl nakuelewa Sana ubarikiwe sana
 
Kama mlivyo na mnavyoendeleza chuki yenu dhidi ya yule mliyeshirikiana kumdhuru na kisha kuendelea kumdhihaki akiwa kaburini mpaka leo hii.

Na sisi tunaanzia hapohapo!
Kwanza kubali basi kuwa Membe keshakusanya point zake tatu kimafiosi hapa duniani kabla hajaenda kukutana na mkuu wa malaika.

On a very serious note, nakushauri kwa dhati kabisa kwa afya yako: inuka usimame palipo juu zaidi ya hizo falsafa muflis za sherehe za vifo na misiba ya binadamu wenzako. Labda kama wewe si Mtanzania.
 
Too subjective usichannganye mambo na chuki za waliotumbuliwa kwa ufisadi wenye vyeti feki
Huu ujinga wa kujustify kwamba kila mkosoaji wa shujaa wenu ni muathirika wa vyeti feki ni ujinga!! Ni fisadi gan mlimfunga na yupo gerezani mpaka sasa? Mzalendo wa kweli na pekee Nchi hii ni Mwalimu Julius kambarage Nyerere!! Over
 
Sawa tumekuelewa ila nasikia Kuna mzoga utasafirishwa kesho
 
Nipo chato nakojoa juu ya kaburi la huyu fisadi, dikteta ,muuwaji. Ila hakika ni kwamba hatafufuka.
Jembe la chato kenge kama we huwezi kugusa hata Kuta ya nyumba inayozunguka kaburi lake amelala kwa heshima kubwa sana
 
Wahi rundo wewe [emoji1787]
 
Toa huu uchafu acha hii movies iendelee
 
Mnawatafuta watu wa comment wakianza ku comment mnaanza kulia na kulamba makamasi kuwa mnatukanwa.
Mnapenda sana kutumia jina la JPM kujifanya mnampigania kumbe mnata watu wajae ili muwagawe watanzania.
Huyu Le Mutuz unayelazimishia hapa ni mani asiyejua kuwa alikua ni Pro- Magu kuliko maelezo?
 
Huyo marehemu wa mleta mada alishawahi kumdhihaki mtu kwa kupiga pushup jukwaani
Alikuwa anajibu hoja kwamba ni mgonjwa. Push up ilikuwa kwa ajili ya kuonesha kuwa yuko fit.
 
Kufa ni wajibu kwa kila binadamu, pia kufurahi na kuomboleza haiepukiki. Dunia ni uwanja wa fujo
 
Alikuwa anajibu hoja kwamba ni mgonjwa. Push up ilikuwa kwa ajili ya kuonesha kuwa yuko fit.
Weeee! Kipindi kile cha pushup ni mtu mmoja tu alikuwa anatambulika na kudhihakiwa ni mgonjwa, na hadi leo yupo hai
 
Pale mtaani kwetu "Kilimani" Dom mnamo mwaka 1986, aliuwawa jambazi moja maarufu kama "tembo" kwa kugongwa na gari.

Vijana kwa watoto na wazee wote kwa umoja wetu tulisema "asante Mungu".

Hii haikuwa na maana kuwa wote hatukuelewa thamani ya uhai, bali ilionyesha kama binadamu tuliochoshwa na uovu wa huyo binadamu mwenzetu aliyejulikana kama temb, tulifurahia kuwa na amani kwa kutokuwepo kwake.

Iwe isiwe,usheherehekee au uhuzunike, kifo ni chetu sote.
 

Unarudisha nchi kwenye mstari kwa kutoheshimu sheria za nchi. Au kuteka na kuumiza wasiokusujudia ndio urejeshaji wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…