Bado hamjasema,mtasema tu!Wewe unaanza vibaya na kuhamasisha matusi!
Hivi kusimamisha nchi kwenye mstari ni:
Kuiba pesa za raia wake benk?
Kuua wale ambao haelewani nao?
Kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
Kuiba trillion 1.5 hazina na kumfukuza kazi CAG kinyume cha sheria?
Kununua madege cash na kupiga chenji?
Kudanganya plea bargain na kuiba fidia na kwenda kuzificha china?
Lilikuwa jambazi na uaji!
HALISAFISHIKI HATA WAKIFA WATU WEMA 100! RIP Bernardo and continue to ROT in HELL Magu!
Mkuu ile mada yako nzito juu ya Uchunguzi pindi Rais anapofariki madarakani,huwa naipitia kila siku.Watu wanatamani maneno waliyoongea yarudi mdomoni mwao lakini wapi,too late!Siku zijazo zina Tisha zaidi kuliko leo na kesho.
Haita isha mpaka mapanga na mikuki yatumike na haki kwa wote ipatikane sio kwa tabaka fulani la watawalaHizi chuki zitaisha lini?
Taja majina ya waliouwawa na Magufuli!Nani huyo aliyetaka kuirudisha nchi kwenye mstari kwa kuua kila anayempinga? Nchi hairudishwi kwenye mstari kishamba vile. Ona mama snavyotuheshisha nchini mwetu ambapo kwa Sasa kila mtu ana tabasmu hakuna tena kutekana na kuuana. Siku nyingine uwe na akili basi
Azori gwanda, Ben saanane nkTaja majina ya waliouwawa na Magufuli!
Hii propaganda yenu ya kijizi tulikwishaikataa!
Majizi,Vueti feki,wabadhirifu na wasakatonge wa nchi hii mmepigwa na kitu kizito.
Hata ...
Membe hatasimama tena!
mpaka Mungu atakapotufuta machozi kwa kuwaondoa watesi wetu waliotutesa mpaka Sasa tozo ,Kodi Kila mahali.migomo ya wafanya biashara,machinga,huduma mbovu,n.k.Hizi chuki zitaisha lini?
Mungu SI athumaniMkuu
Kama maembe,Mr tembo na wazuri hawafi, wakitangulia Bas vasco da gama atapata mserereko wa kutangulia hivi punde!
Mkuu Voicer kwa vile wewe na wenzako mmeamua kuendeleza mashindano batili ya kimafia kuhusu vifo na misiba ya mahasimu, basi nakupa kigezo muhimu katika falsafa muflis ya mafiosi: Yule anayekuwepo na/au kuhudhuria na/au kusimamia msiba wa kifo cha hasimu wake ndiye mshindi. He who survives his adversary is the victor.Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!
Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake.
Ni Kama Vile sasa ni zamu mpya kuonyeshwa ufundi wa Mungu!
Ni Kama Vile bado Mungu anafuatilia na kuamua ugomvi ndani ya nchi hii.
Safari hii naona wanamtandao wamepigwa pazito,tumeona sasa na wao wakitoa machozi ya kweli.
Tuheshimiane hapa Duniani kwa sababu hakuna binadamu aliye na mkataba na Mungu.kuna watu nchi hii wanavimbewa hadi kujisahau kwamba nao kuna siku watakuwa maiti.
Huyu alisema
"Magufuli hatasimama tena"
Na leo yeye pia amelala milele!
Lemutuz nae alisimanga kupitia andiko lake kwa Makonda,leo nae njia ile ile....
Kuna walamba asali wawili wako na tiketi mkononi mmoja yuko Lushoto na Mwingine makamu wa mwenye stool CCM hata Misibani hawezi kuhudhuria.....
Walimtukana Magufuli na kumuita mshamba,kisha siku alipofariki wao wakafanya sherehe na kukifuru mbele ya mkutano mkuu wa CCM....
Kwamba!
"Wazuri hawafi,ila sasa wote tunalamba asali"
Acheni "Mungu" aitwe "Mungu"
Mkuu kwahiyo shangwe inaendelea kwa wanyonge?Hakika Mungu hadhihakiwi!

we're getting very close , were very close ,2 more minutes!!Siku zijazo zina Tisha zaidi kuliko leo na kesho.
Yaani nchi hii legacy ni ya JPM pekee? Vipi kuhusu Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?Na Mungu ataendelea kuongeza msafara sawia kabisaaa!
Tunajua Magufuli harudi tena kama ilivyo kwa Membe nae hatutamuona tena.
Ila legacy itakayobakia ni ya JPM pekee!
Siku unapata akili na ndo siku ya kufaWewe unaanza vibaya na kuhamasisha matusi!
Hivi kusimamisha nchi kwenye mstari ni:
Kuiba pesa za raia wake benk?
Kuua wale ambao haelewani nao?
Kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
Kuiba trillion 1.5 hazina na kumfukuza kazi CAG kinyume cha sheria?
Kununua madege cash na kupiga chenji?
Kudanganya plea bargain na kuiba fidia na kwenda kuzificha china?
Lilikuwa jambazi na uaji!
HALISAFISHIKI HATA WAKIFA WATU WEMA 100! RIP Bernardo and continue to ROT in HELL Magu!
Kama mlivyo na mnavyoendeleza chuki yenu dhidi ya yule mliyeshirikiana kumdhuru na kisha kuendelea kumdhihaki akiwa kaburini mpaka leo hii.Mkuu Voicer kwa vile wewe na wenzako mmeamua kuendeleza mashindano batili ya kimafia kuhusu vifo na misiba ya mahasimu, basi nakupa kigezo muhimu katika falsafa muflis ya mafiosi: Yule anayekuwepo na/au kuhudhuria na/au kusimamia msiba wa kifo cha hasimu wake ndiye mshindi. He who survives his adversary is the victor.
Haya basi endelezeni mipasho batili ya misiba kwa faida ya nafsi zenu duni.
Walioshangilia ndiyo walikosea sanaHaijalishi ulihuzunika au ulifurahi, UTAKUFA TU
Haijalishi kifo chako kitakuwa mapema au baadaye, hicho si kipimo cha furaha au huzuni yako dhidi ya kifo cha mwenzako
Haijalishi anayekufa sasa alifurahia au alihuzunishwa na kifo cha Magu, kati yetu hatujui alipaswa kufa lini
Mwisho ni muhimu kujua; tupo wajinga wengi tunafikiria ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu, bas hupaswi kufa ukiwa madarakani... Huu ni ujinga wa tulio wengi wa wa-Tz
Naona neno la kuudhi utakufa Kwa kihoroNipo chato nakojoa juu ya kaburi la huyu fisadi, dikteta ,muuwaji. Ila hakika ni kwamba hatafufuka.