Wanavisasi Mmepigwa Pabaya!

Nani huyo aliyetaka kuirudisha nchi kwenye mstari kwa kuua kila anayempinga? Nchi hairudishwi kwenye mstari kishamba vile. Ona mama snavyotuheshisha nchini mwetu ambapo kwa Sasa kila mtu ana tabasmu hakuna tena kutekana na kuuana. Siku nyingine uwe na akili basi
 
Mkuu

Kama maembe,Mr tembo na wazuri hawafi, wakitangulia Bas vasco da gama atapata mserereko wa kutangulia hivi punde!
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
 
Wewe unaanza vibaya na kuhamasisha matusi!
Hivi kusimamisha nchi kwenye mstari ni:
Kuiba pesa za raia wake benk?
Kuua wale ambao haelewani nao?
Kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?
Kuiba trillion 1.5 hazina na kumfukuza kazi CAG kinyume cha sheria?
Kununua madege cash na kupiga chenji?
Kudanganya plea bargain na kuiba fidia na kwenda kuzificha china?
Lilikuwa jambazi na uaji!
HALISAFISHIKI HATA WAKIFA WATU WEMA 100! RIP Bernardo and continue to ROT in HELL Magu!
 
Hatimaye Kambi ya watu wazuri Hawafi,imefikiwa!
Mimi nasubiri anguko kuu la Mfalme wao wa kule kwenye kamji ka magofu ya Mjerumani kando ya Bahari ya Indi.
Mungu fundi nyie!!!
 
Siku zijazo zina Tisha zaidi kuliko leo na kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…