Wanausalama ni watu muhimu sana

Nawe ni usalama
 
Hawana lolote,kwa tanzania hii hawana umuhimu wanakula mshahara bure tu
 
Hawana lolote,kwa tanzania hii hawana umuhimu wanakula mshahara bure tu
Unaandika haya ukiwa na amani kabisa pia ukiwa na uhakika wa kuamka salama alafu unasema watu wanaohakikisha unapata usalama huu hawana lolote kabisa??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…