Weka za matajiri na maisha ya katiMatumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume
Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000
Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali
Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk
Wanaumeee...!
matajiri jana walikuwa festival ya land roverWeka za matajiri na maisha ya kati
uko wapiWanaume tunateseka sana serikali itufikirie.
Natoka church na mke wangu, nimevaa shati la kitenge nae amevaa gauni la kitenge.....kwa kifupi tunapendana sana.uko wapi
si salama kwa afya hii...๐Natoka church na mke wangu, nimevaa shati la kitenge nae amevaa gauni la kitenge.....tunapendana sana.
Ntakupigia baaadae ๐น
Hili nalo nenoWanaume tunateseka sana serikali itufikirie.
Bro acha wivu ๐นsi salama kwa afya hii...๐
Mwambie "nimefurahi kuna kapo imepita hapa wamependeza sana"Wewe uwe na huruma hebu! Ona sasa naulizwa nacheka nini peke yangu sina la kujibu
poapoa mwamba..๐Bro acha wivu ๐น
SIjaelewa unamaanisha niniNatoka church na mke wangu, nimevaa shati la kitenge nae amevaa gauni la kitenge.....tunapendana sana.
Ntakupigia baaadae ๐น
Hatari sana, tena sio na nusu tena.Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume
Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000
Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali
Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk
Usiniulize kipato,
Wanaumeee...!