Nitembee njiani na mke aliyevaa nusu utupu? Tumetokaje nyumbani kwanza, hata hivyo wanasema nionyeshe rafiki zako nami nitakuambia wewe ni mtu wa aina gani, that includes your wife.
Asante...ila tukiwa ndani yaani mwanamke lazima nusu uchi anipe raha na ata mtaani napendaga safisha macho maburudani yakipita nusu uchu hasa usafiri ukiwepo wa ukweli na paja thick