Wanaume, zingatieni usafi

Wanaume, zingatieni usafi

Haha... What is experience in PM, yaani mbaka nachukia my real image!!! Eeh, this fucking rav 4 ya mom, ndo size poa.
Keep boosting it up!!
Hahaha.... U think I know nothing about tz? Nlishinda undergraduate degree udsm, so you cannot lie anything. Afu my dad's house ingine iko Njiro arusha, hata weekend ikujayo ntakua arusha for two days. What you deserve ni pole for you to know not what you are writing.
 
Hata ww ungekua hujui kufua au kuosha vyombo au kupika angekufundisha kwa busara.

Hvyo kama ni mtu wako wako wa kudumu kaoge nae,msaidie kushave,Mnunulie manukato na sabuni nzuri
Msisitize asirudie nguo.
Mwanaume ni kama mtoto unaweza mbadilisha vile unataka siri ni upole,busara na hekima unapo muambia

Kila la kheri ila kama una UZA jikaze tu.kila kazi ina changamoto zake.ha ha ha ha
ewaaaa!! kula strong like yangu!!
 
Kwa wewe kukubali kufatana nae na pia kuingia kitandani bila hata kumwambia mwanaume huyo aoge kwanza, basi kuna unachofata zaidi...nafikiri ni pesa na sio lingine.
 
Back
Top Bottom