we mpotoshe tu mwenzio baba ni baba kaka ni kaka na mume ni mune kamwe hawawezi fanana wala linganishwa kwa namna yeyote na uwezi nidanganya hata kwa punje et huwezi penda mwingine sababu flani halikuumiza love is driven involuntaryPole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Hata simdaganyi nanwambia ukweli akijifanya kupenda anajidhuru nafsi yake mwenyewe tu huyo. Mume sio kitu chakuhesabia mumekutana wote ukubwani, baba au kaka hawezi kukuumiza huo ndo ukweliwe mpotoshe tu mwenzio baba ni baba kaka ni kaka na mume ni mune kamwe hawawezi fanana wala linganishwa kwa namna yeyote na uwezi nidanganya hata kwa punje et huwezi penda mwingine sababu flani halikuumiza love is driven involuntary
Yeah naye pia mkuuYaan mjomba wako pia ni dog?
Sijawachoka bwana huo ndo ukweli mchungu sanaDah, kweli umetuchoka aisee...
Asilimia 98% mko hivowanaume wote hatuko ivo
hongera kwa baba yako na kaka zako wasio kuumiza ila tambua tu kuna wanawake kimbilio na faraja ya maisha yao ni kwa waume zao na si ndugu wala wazazi sometimes hao huumiza zaidi na kukatisha tamaa zaidi tofauti na waume zao kwa hio isiwe sababu kuwa wewe unaishi hivo na mwingine aishi hivyoHata simdaganyi nanwambia ukweli akijifanya kupenda anajidhuru nafsi yake mwenyewe tu huyo. Mume sio kitu chakuhesabia mumekutana wote ukubwani, baba au kaka hawezi kukuumiza huo ndo ukweli
Nakubaliana na wewe hao wachache ni exceptional kabisa ila majority ni wale walehongera kwa baba yako na kaka zako wasio kuumiza ila tambua tu kuna wanawake kimbilio na faraja ya maisha yao na kwa waume zao na si ndugu wala wazazi sometimes hao huumiza zaidi na kukatisha tamaa zaidi tofauti na waume zao kwa hio isiwe sababu kuwa wewe unaishi hivo na mwingine aishi hivyo
Sijawachoka bwana huo ndo ukweli mchungu sana
Pole mkuu. Kaza moyo relax na karbu tujumuike jogging utasahau mambo ya ovyoovyoSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
So sorry for that aisee, don't mind ni kwa wale few wasiojielewa wala kujali hisia za wenginePersonally nimeipokea hiyo punch...
It hurts though.
Kumbe hua unapiga nyeto eeehHuitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani