Wanaume wotee sawa tu

Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Nanyinyi mmezidi uzuri na wingi..hatuna jinsi
 
Tupo tumejaa tele unfortunately mie nina mke wangu mpenz monny pole sana wanaume wanaojua kupenda wapo afu usimuamini mtu kiivo ndo mana mnaumia
 
Kwa tabia kama hizo unafikiri nani atamuoa mwanamke wa hivi. wanawake hulaumu wanaume lakini wanasahau kuwa wao ndio tatizo. kwa kauli aliyotoa sidhani kama anaweza kuwa na mme huyu
 
Tatizo lako umejirahisi sana ndomaana waishia kuumizwa na usiopokua makini kwenye mahusiano utaumizwa sana pengne we mwenyewe unachangia mwanamke mwngne ukimuulixa a-b za kumhusubyeye ananuna eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…