Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

Tatizo ving'amuzi vingine ni non stop searching...God forbidooo
 
^^
Kwa mie nisie mcha Mungu ipasavyo, na sina pesa, na maarifa yangu haba.
Je, kuna tumaini lolote kweli? Au ndo nimepishana na gari la wanawake?
^^
Haujachelewa mkuu muda bado unaruhusu fanya maamuzi sasa wakati ni huu!
 

Kumbe ndio kazi nyingine ya ving'amuzi! Mimi nliijua kazi mojatu yaani kusababisha mtetemeko
 
Acha kupotosha maandiko wewe. Adam katika agano la kale alikuwa anautajiri gani na usifananishe hawa katika biblia na wanawake wa leo. Kilichofungiwa kwa hawa ni upendo haijalishi mazingira aliyokuwa anaishi Adam. Sikia wanawake wa leo hawana upendo wanaangalia vitu. Nyumba biashara kazi gari kama nayo hayo waweza ukaoa leo leo. Fact ya ndoa inafungungamana katika upendo.
Utakapo kuwa na upendo hapo vitu vyote vitawezekana maana mwanamke hata dai jambo ambalo mmewe hana uwezo nalo.
Pili sidhan kama kumwabudu Mungu ipo katika context ya hilo andiko sijui umebeba emphasis toka wapi.
Tatu. Wanawake ukitaka uwe na maisha mazuri na mmeo mpime mwanaume uwezo wa mambo ya fuatayo.
Mtanzamo wake wa maisha (future plan).
Anataka maisha yake yaweje baada ya muda Fulani.
 
unasomea utumishi nn?ahnsante kwa somo zuri la kiroho
 
Kweli kabisa umesema jambo lenye ukweli 100% yaani ndo hali alic iyo
 
Kweli kabisa umesema jambo lenye ukweli 100% yaani ndo hali alic iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…