Newcreation
Member
- Jun 3, 2014
- 31
- 32
umeongea sawa kabisa mimi ni mwanamke na nilitumia vigezo hivyo kuolewa na huyu mwanaume na hata kama si vyote hapo,ila ving vyenye mchecheto ndivyo vilivyo nichetua,suala la kiuchumi hana ila ni mtu ambae akipata fursa akili amepewa naamini hivyo coz soon ntakuwa mangi wa pili
vingi tu yaani ni rahaaaaaa asikwambie mtu THE BOSSVilivyo kuchetua ? Hahaaaa
vingi tu yaani ni rahaaaaaa asikwambie mtu THE BOSS
amina kubwa the bosskama ameweza kukuchetua ukachetuka basi good for you
Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke, wala haikua katika plan zake, ni uzoba wa Adam kushindwa kutumia mazingira yake vizuri katika kutengeneza furaha yake binafsi ndo kulisababisha atleast Mungu kuanza kufikiri nini cha kumuongezea Adam.
wanawake waliumbwa BY THE WAY tu, so uchambuzi wako hauna msingi
Japo naweza nisieleweke ''Kila unachokiona kinafanyika katika ulimwengu huu (physical) tayari kimekwisha kuwepo kwenye ulimwengu wa Roho. Iwe ni cha Kimungu, iwe ni cha kishetani hata sisi wenyewe vitu tunavyoonekana tunavifanya, tayari vinakuwa vimeshatengenezwa kwenye nafsi/mawazo yetu.
Vyote vinavyotokea sasa tayari vimekwisha kuandikwa kutoka mkatika ulimwengu wa Roho. Sasa inategemea namna vinavyotokea hatika uhalisia wake. Kusema Mwanamke aliumbwa kwa bahati tu hatupo sahihi...
Yanayotokea ulimwenguni ni kama PRINTING ya ulimwengu wa ROHO. Kwa lugha nyepesi chukulia mfano wa Kuchapisha/Kuprint kitu. Printing inavyokuwa.. Wazo linatoka moyoni/kichwani unalichapa kwa komputer halafu kupitia komputer unalituma kwa printer... ndio unaona physical copy'' Cha kujiuliza, Kwani hio document/maandishi yalianzia kwenye Printer?
THE PHYSICAL WORLD IS THE PRINTING OF THE SPIRIRUAL WORLD. (Either from higher realms of the lower ones)
cc Newcreation, Ablessed na Blue G na Kaunga
Naomba niwe msaidizi wakoNgoja nipate msaidizi, nitarudi.
Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke, wala haikua katika plan zake, ni uzoba wa Adam kushindwa kutumia mazingira yake vizuri katika kutengeneza furaha yake binafsi ndo kulisababisha atleast Mungu kuanza kufikiri nini cha kumuongezea Adam.
wanawake waliumbwa BY THE WAY tu, so uchambuzi wako hauna msingi
funny!!! huo ulimwengu wa rho uko wapi??? unabishana na BIBLE or??? thats what the Bible teaches, the woman creation was not on Gods plan at first, god wanted to create man only.
Dont bring your ullusions in the contest of Holy Bible
Naomba niwe msaidizi wako
Anza tu kuwaita shemeji kila uwaonapo.^^
Kwa mie nisie mcha Mungu ipasavyo, na sina pesa, na maarifa yangu haba.
Je, kuna tumaini lolote kweli? Au ndo nimepishana na gari la wanawake?
^^