Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Huyu ndo nani?jamani eeeh Mungu alimuumba Adam na HAWA.. na sio Adam na HUYU
Hakuwepo ndo maana alimuumba na nyie woteHuyu ndo nani?
Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao
Akishakugegeda anawaza kupata k mpya.
Hapo wewe mwanamke ndo ushakufa Na kuoza juu yake. Ukute tena ana kibamia cha Nazi ndo utakoma.
Ukishaona mwanaume hakutafuti kwenye simu ,mawasiliano hayapo hayapo mpaka uanze wewe jiite tu bikra kama Mimi miss .jua huna chako wacha kusumbua watu kuomba ushauri.
Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
Umoja Huyu,wingi Hawa.So wacheni tuwatafuneHuyu ndo nani?
Thick twiceView attachment 954337
Ni kweli mkuu.ila mawasiliano ya akupendae utayajua tuNi kwel mahusiano ni mawasiliano lakini si kila muda jamani... inamaana unakua huna kazi nyingine ya kufanya??
Ukiwa busy hata huwazi kama kunamtu hajakutafuta aisee
Ni kweli mkuu.ila mawasiliano ya akupendae utayajua tu
Yaani sipendi mwanamke anayependa kuwasiliana kila saa kama wanafunzi, tena akiwa analeta lawama sana ndo ananipa ticket ya kumpiga chini.
Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao
Akishakugegeda anawaza kupata k mpya.
Hapo wewe mwanamke ndo ushakufa Na kuoza juu yake. Ukute tena ana kibamia cha Nazi ndo utakoma.
Ukishaona mwanaume hakutafuti kwenye simu ,mawasiliano hayapo hayapo mpaka uanze wewe jiite tu bikra kama Mimi miss .jua huna chako wacha kusumbua watu kuomba ushauri.
Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.
Mungu atakupa chaguo la moyo.wako mkuu inaelekea wanachovya na kusepa sana hapo ndio maana ukasema hivyoNi ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao

Ndo ukome