i hate generalization more than 100%unaposema wanaume wote wakware usimsahau na mshua wako, kaka yako, mjomba,mdogo wako wa kiume na wengineo
Generalization mbaya sana!! Jaribu kusema hata 'baadhi ya' na sio kusema wote...Kuna baadhi ya wanaume wanajiheshimu na wengineo hawajatulia...
[HASHTAG]#UsimsahauMshua[/HASHTAG]
wewe ndio ume generalize, uzi unahusu wanaume wakware wote...kama na wewe ni mkware basi ni mmoja wapo. kama sio inakuwashia nni hate generalization more than 100%
hakuna kilichoniwasha but i responded to the uzi, kwamba kugeneralize mambo sio ishu kabisa.wewe ndio ume generalize, uzi unahusu wanaume wakware wote...kama na wewe ni mkware basi ni mmoja wapo. kama sio inakuwashia nn
hakuna kilichoniwasha but i responded to the uzi, kwamba kugeneralize mambo sio ishu kabisa.
na pili kama hukutaka turespond y imeletwa humu?
acha upuuzi fikiri kwanza.
Alikuwa njia saaaaana!!!!!Unataka kumaanisha nn hapa?
Huez kuongea kama hayajakukutaNaongelea reality sio suala la kukutwa
Acha tule tuh aise hamna namnaWhat goes around comes back around, tatizo sio kua shehe, background yake unaijua?...kula papuchi nyingi sio sifa wala
Akili mgando na fupi hua na uvivu wa kung'amua mambo kama ww,nahisi utakua mmoja waoHuez kuongea kama hayajakukuta
Utajijua na nafsi yakoAcha tule tuh aise hamna namna
Hata kama hutawala wako wataliwaHabari zenu wajameni,
Leo nataka niwape ujumbe wanaume wote wanaopenda kujisifia kula papuchi nyingi hapa duniani au kuchezea wasichana wa watu, mkae mkijua hao wadada mnao wachezea na kujisifia na mkiwadanganya wanafamilia na malengo yao pia.
Leo wewe ni kijana kesho utakua baba na utapata watoto wa kike ukae ukijua unavyowafanya watoto wa kike leo na wewe wa kwako atakujafanywa hivyohivyo. What goes around comes back around.
The way una respect wanawake leo ndivyo uzazi wako utaheshimika na kua na maendeleo, mfano wewe baba uliekuwa na tabia mbovu ujanani utashangaa mwanao yuko form two kapigwa mimba inabidi ujiulize enzi zako uliwafanya vipi watoto wa watu?
Tujifunze kuheshimu wasichana, hawa ni mama zetu wa baadae.
Ndio maana na wewe unali*a sana? Just kiddingAlikuwa njia saaaaana!!!!!
tena mpaka 0712 zitamegwa kama sio zaoHiyo ni coincidence, unaweza usiwale kabisa afu watoto wako wakaliwa ile mbaya...kwani na wao hawasikii starehe ya ngono. Ingekuwa inauma wasingekuwa wanagawa papuchi
Mpango ni kumgegeda na kumuacha, au wewe unataka mpango gani mwingine? [emoji23]Kwann ugegede Mtu Ambae huna mpango nae?
Aise poleAkili mgando na fupi hua na uvivu wa kung'amua mambo kama ww,nahisi utakua mmoja wao
HahahaMpango ni kumgegeda na kumuacha, au wewe unataka mpango gani mwingine? [emoji23]
Kwann ugegede Mtu Ambae huna mpango nae?