Wanaume wote wakware


Ngoja nikawaombe radhi nilowasaliti.
 
USHAURI
kama we unaamua kula papuchi kula sana tu maana kuhusu uzazi wetu hatujui kuna uwezekano Sheikh akazaa kahaba au shoga Upande wa pili Kahaba akazaa Padri/sheikh nk
 
Mi nakula tu hadi nafikisha umri nimeshagonga wengi sana.kwa tarifa sihitaji mtoto
 
Tatizo wengi walio kwenye mahusiano mmoja kati yao unakuta si mwaminifu yaan michepuko kibao
 
Ujumbe mzuri ikiwa na wewe unatekeleza ulichokiandika
 
Pamoja na yeye kama ni me. Ila mbona lawama kwa wanaume tu. Kwani wao hawazisomeshi kilometa?
 
Unaposema wanaume wote unamaanisha hata ndugu zako wote wenye jinsia ya me ndiyo tabia zao. Vipi kwani hao madada dink inaruhusu kufanya kabla ya ndoa? Je hao madada mda wanafanywa akili zao zinakuwa zimechukuliwa na nani au zimehifadhiwa wapi? Waase wadada wenzako waache uzinzi, wasubiri hadi waingie kwenye ndoa
 
USHAURI
kama we unaamua kula papuchi kula sana tu maana kuhusu uzazi wetu hatujui kuna uwezekano Sheikh akazaa kahaba au shoga Upande wa pili Kahaba akazaa Padri/sheikh nk

What goes around comes back around, tatizo sio kua shehe, background yake unaijua?...kula papuchi nyingi sio sifa wala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…