Kwann ugegede Mtu Ambae huna mpango nae?Ahahahahaahahahah hamna kitu kama hicho tuheshimiane tu na tupeane mambo ila sioni ubaya kwenye kukugegeda halafu nikawa nnje ya malengo yako .
Sio lazimaPole ukiona manyoya ujue....
Habari Zenu wajameni, Leo nataka niwape ujumbe wanaume wote wanaopenda kujisifia kula papuchi nyingi hapa duniani au kuchezea wasichana za watu, mkae mkijua hao wadada mnao wachezea na kujisifia na mkiwadanganya wanafamilia na malengo yao pia. Leo wewe ni kijana kesho utakua baba na utapata watoto wa kike ukae ukijua unavowafanya watoto wa kike leo na ww wakwako atakuja fanywa hivohivo. What goes around comes back around. The way una respect wanawake leo ndivo uzazi wako utaheshimika na kua na maendeleo..mfano ww baba uliekua na tabia mbovu ujanani utashangaa mwanao yiko form two kapigwa mimba inabidi ujiulize enzi zako uliwafanya vp watt wa watu? Tujifunze kuheshimu wasichana, hawa ni mama Zetu wabaadae.
Usijifariji.Hiyo ni coincidence, unaweza usiwale kabisa afu watoto wako wakaliwa ile mbaya...kwani na wao hawasikii starehe ya ngono. Ingekuwa inauma wasingekuwa wanagawa papuchi
Unataka kumaanisha nn hapa?Aiseeee, inabidi nikamuulize mzee mkubwa maana daaaah
Tatizo wanaume wanakuja na gia ya kuwadanganya kwamba watawaoa kumbe waongo mwisho wa siku binti anaachwa solemba. Ni wasichana wachache wanatoa papuchi iLiwe bila malengo. Ni eidha anauza au anajua kuna future kumbe patupuHivi wanawake kwani sio binadamu mpaka muwe mnalalamika kutumika kila wakati?Mwanaume anapokuja kama hutaki kuliwa atakulazimisha?
Mnapokulana basi wote mnatumika na hakuna wa kupewa lawama maana hata mwanaume naye anatumika kama mnavyolalamika nyie kuwa mnatumika,acheni kulalamika maana hamlazimishwi kuliwa hizo papuchi zenu
Muache kuwadanganya na chpsWanapenda sana chipsi
Ndio kugongeka easy sana
Nao waache kupenda vya mteremkoMuache kuwadanganya na chps