Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Picha inajieleza nadhani kila mtu ataelewa
Hao ndo nasikia kwakoNa hawa wengine Wanao lala, kuamka na kushinda na Baba zao na wapo kike shida huwa nini ?
Ntarudi kusoma kesho mchana lunch time.
Na hawa wengine Wanao lala, kuamka na kushinda na Baba zao na wapo kike shida huwa nini ?
Ntarudi kusoma kesho mchana lunch time.
Mechi kama draw vile. Single fathers ninaowajua wanashinda baa anarudi nyumbani usiku wa manane akiwa na kahaba watoto wanaamshwa kwa kelele nyingi na matusi.Picha inajieleza nadhani kila mtu ataelewa![]()
Picha inajieleza nadhani kila mtu ataelewa![]()
Mtoto ana gain tabia za mama ake Asilimia kubwaPicha inajieleza nadhani kila mtu ataelewa![]()
Wewe umegain tabia za mama yako????Mtoto ana gain tabia za mama ake Asilimia kubwa
Haijalishi kama ni kiume au wa kike.
Napinga hojaMtoto ana gain tabia za mama ake Asilimia kubwa
Haijalishi kama ni kiume au wa kike.
Shukrani mkuu.Napinga hoja
Hapana mm nmeishi na wazazi wote wawili.Wewe umegain tabia za mama yako????
Naunga mkono hojaUwepo wa baba makini katika familia unasaidia kurekebisha maadili ya watoto hadi mama yao.
Kuna wanawake akili zao ni za ajabu kweli kweli hasa kwenye mavazi
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.