OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,380 Reaction score 13,396 Apr 2, 2017 #1 Habari wakuu, Nipo kwenye kautafiti, Chonde chonde wakuu msinipige wala kunisimanga haka kautafiti sio kama kale ka twaweza, haka ni ka utafiti binafsi, Wale wazee wa tanzania ya viwanda nadhani mmenielewa chonde chonde wakuu, Andika neno YES kama ni kweli , Bofya like kama SIKWELI, NB: Nimefanya hivyo ilikupata takwimu sahihi ambazo zitahesabika haraka na kwa uweledi mkubwa, usi comment neno lolote tofauti na neno YES, Utafiti ni huu hapa Ahsanteni.. ..
Habari wakuu, Nipo kwenye kautafiti, Chonde chonde wakuu msinipige wala kunisimanga haka kautafiti sio kama kale ka twaweza, haka ni ka utafiti binafsi, Wale wazee wa tanzania ya viwanda nadhani mmenielewa chonde chonde wakuu, Andika neno YES kama ni kweli , Bofya like kama SIKWELI, NB: Nimefanya hivyo ilikupata takwimu sahihi ambazo zitahesabika haraka na kwa uweledi mkubwa, usi comment neno lolote tofauti na neno YES, Utafiti ni huu hapa Ahsanteni.. ..
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Apr 2, 2017 #2 mmmmmmmmmmmh haya..
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Apr 2, 2017 #3 hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..!
hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,281 Apr 2, 2017 #5 Aisee
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,230 Reaction score 9,360 Apr 2, 2017 #6 YES
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,818 Reaction score 6,547 Apr 2, 2017 #7 Wanaume wote ni waaminifu, period 😀😀
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,267 Apr 2, 2017 #8 Tangulini wabongo tukafuata kanuni au sheria Za maagizo? MMOJA WAPO MIMI
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,380 Reaction score 13,396 Apr 2, 2017 Thread starter #9 The End.. said: hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..! Click to expand... Kwani hili ni jukwaa gani? Kama ungekuwa mtihani alafu mimi ndio nikawa mwalimu wako lep ungetaga.
The End.. said: hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..! Click to expand... Kwani hili ni jukwaa gani? Kama ungekuwa mtihani alafu mimi ndio nikawa mwalimu wako lep ungetaga.