Wanaume wote mbinguni...

Usitake ncheke mie, kwaani Adam alitoka wapi? Au alizaliwa na Eva? nini!!

Ww jichekeshe tu km vp,otherwise dunia nzima angebaki adam peke yake,coz hujui adam hakuweza kuzaa peke yake mpaka alipoletewa Eva ndipo nawanaume na wanawake tulipotokea!
 
Dunia bila wanawake sio dunia, ni ukiwa m2pu, hata Mungu alijua hlo ndo maana aliona yote ni mema ila kuna kaupungufu flani hv, adam alikuwa mpweke, analima anamlimia nani? Anachuma maua anamchumia nani? Ana2ma sms kwa nani? Women are there to fill gaps in men's lyf! Kataa bisha, dunia bila wanawake si ki2! Gnite wote!
 
Dunia bila wanawake sio dunia, ni ukiwa m2pu, hata Mungu alijua hlo ndo maana aliona yote ni mema ila kuna kaupungufu flani hv, adam alikuwa mpweke, analima anamlimia nani? Anachuma maua anamchumia nani? Ana2ma sms kwa nani..kwa simba au tembo? Teh! Women are there to fill gaps in men's lyf! Kataa bisha, dunia bila wanawake si ki2! Gnite wote!
 
We uliyeleta hii mada mamako akiiona si utakuwa kwenye hot soup nahisi atakaa chini alie sio kwa sababu ya uchungu bali kwa mshangao wa kukuleta duniani halafu unamkana mapema kabla hajafa,think thrice then come up with a good idea
 

Yani ningekuwa na namba yako ya simu ningekurushia vocha ya 10,000.
Yani uko Exellent kabisa.
Hata humu Jf,
Bila wanawake mnafikiri mngeleteana umwamba jukwaani...???
 
Kusingekuwa na wanawake dunia ingefurika hela ila watu wangezeeka na umri wa 15 yrs! Manake mioyo haiendi mbio wala nini!
 
Yani ningekuwa na namba yako ya simu ningekurushia vocha ya 10,000.
Yani uko Exellent kabisa.
Hata humu Jf,
Bila wanawake mnafikiri mngeleteana umwamba jukwaani...???

kwahiyo nyie mnaweza kusurvive bila wanaume.!?? Ata humu jf na nyie mnataka kupigana sema tunazisitili tu pm zenu...
 
kwahiyo nyie mnaweza kusurvive bila wanaume.!?? Ata humu jf na nyie mnataka kupigana sema tunazisitili tu pm zenu...

NDIOO!!!
Tunaweza ku-survive bila wanaume.
Afu wewe Junior. Cuxnakuangalia tu.
We bado mtoto wa Mama,hii mada haikuhusu,lala huko waachie wenye nguvu kama za Simba wajibu...!!!
Nani apigane na mwenzie kisa Nyie?
Si Ntaenda kuishi Uingereza!!!!
 
We Stevoh kweli huna cha kuandika hivi huoni aibu hata kumkana Mama yako???

Mama yako angesoma hapa nadhani angelia na kuomba afe akuachie dunia

Kwa hii dharau nimekushusha thamani
 
Would have been a boring world! Very dirty and stinking!
 
NDIOO!!!
Tunaweza ku-survive bila wanaume.
Afu wewe Junior. Cuxnakuangalia tu.
We bado mtoto wa Mama,hii mada haikuhusu,lala huko waachie wenye nguvu kama za Simba wajibu...!!!
Nani apigane na mwenzie kisa Nyie?
Si Ntaenda kuishi Uingereza!!!!

enh we mama wee.!!! unataka kuninyima nini mtoto wa mwenzio, hizo nguvu za simba ata mi nnzo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…