Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

Kwa hiyo unashauri waendeleze mchezo huu?
 
kwa iyo nyie wanaume huko ndani ni malaika hamna factors nyie,wanafiki wakubwa

sijakataa lakini kila mtu anamapungufu yake, kuna maandiko niliona sehem yanasema mwanamke hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe... hii ni kweli!!

Wanawake wengi hawafanyi yafuatayo kwa wapenzi wao:-
  1. hawawasifii wapenzi wao hata kama hawajafikishwa kibo/mawenzi na badala yake wanawakunjia uso, hili humfanya mwanaume kukatishwa tamaa ya kudoo mara kwa mara na wewe hata kama anahamu na kuamua kwenda nje kujipoozesha ili wewe ubaki na amani yako.
  2. Humtegi/ humchokozi/humuombi mumeo unasubiria we ndo uombwe/ushokozwe, hili saa nyingine linateta uvivu sana kwa mwanaume na kuamua kutafuta kuchokozwa na kutegwa.
na mengine mengi sana. nitaendelea.

wapendeni waume zenu na muwaombee msizani shetani kalala
 
hawakosekani akina hao.
Unakuta mwanamke ndo tatizo lakini kumfanya mwanaume atoke nje!
Kuna wanaume tupo waaminifu sana,lakini,wanawake wamekuwa wachafu sana...yani, mpaka mtu anaogopa kuwa na mchumba!
nataman tabia zako ziende kwa mchumba wangu
 
sijakataa lakini kila mtu anamapungufu yake, kuna maandiko niliona sehem yanasema mwanamke hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe... hii ni kweli!!

Wanawake wengi hawafanyi yafuatayo kwa wapenzi wao:-
  1. hawawasifii wapenzi wao hata kama hawajafikishwa kibo/mawenzi na badala yake wanawakunjia uso, hili humfanya mwanaume kukatishwa tamaa ya kudoo mara kwa mara na wewe hata kama anahamu na kuamua kwenda nje kujipoozesha ili wewe ubaki na amani yako.
  2. Humtegi/ humchokozi/humuombi mumeo unasubiria we ndo uombwe/ushokozwe, hili saa nyingine linateta uvivu sana kwa mwanaume na kuamua kutafuta kuchokozwa na kutegwa.
na mengine mengi sana. nitaendelea.

wapendeni waume zenu na muwaombee msizani shetani kalala
upate kumi usifiwe kuwa umescore 90????????jikakamue ingalao upate 50 hapo sawa
 
:tongue:bi shost kumbe huwa unaharibu mwenyewe njoo huku nikupe darasa
mwanzoni nilikuwa naharibu ila kwa sasa hata niambiwe nini nachukulie ni uzushi utani flani so naishi kwa raha mustarehe
 
sijakataa lakini kila mtu anamapungufu yake, kuna maandiko niliona sehem yanasema mwanamke hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe... hii ni kweli!!

Wanawake wengi hawafanyi yafuatayo kwa wapenzi wao:-
  1. hawawasifii wapenzi wao hata kama hawajafikishwa kibo/mawenzi na badala yake wanawakunjia uso, hili humfanya mwanaume kukatishwa tamaa ya kudoo mara kwa mara na wewe hata kama anahamu na kuamua kwenda nje kujipoozesha ili wewe ubaki na amani yako.
  2. Humtegi/ humchokozi/humuombi mumeo unasubiria we ndo uombwe/ushokozwe, hili saa nyingine linateta uvivu sana kwa mwanaume na kuamua kutafuta kuchokozwa na kutegwa.
na mengine mengi sana. nitaendelea.

wapendeni waume zenu na muwaombee msizani shetani kalala
words of praise will always be in exact proportion to your service." -
 
upate kumi usifiwe kuwa umescore 90????????jikakamue ingalao upate 50 hapo sawa

kimekuingia eeeeeh... ukome, jirekebishe na ufanye hayo niliyokueleza ndo ki-b/f chako kitatulia.

kumbuka kuwa mwaminifu sio ukalipize kisasi
 
kumbe unapenda kushare shost utakuwa una mume wa mtu wewe

Biologically mwanaume ni sawa na wanyama wengine tu. Yaani kuwa na wanawake wengi, kuzaa sana kwa kipindi kifupi. Mwanamke ni wa kulea watoto, kwa hiyo hana haja ya kuzaa watoto wengi, atawatunzaje hao watoto. DNA ya binadamu na wenzetu manyani, tumepishana kwa 2% tu, wenzetu bado wanaendelea kuwa na wanawake wengi lakini sisi binadamu tumejitahidi kuwa na mwanamke mmoja.
Ndani ya dakika 15 mwanamme anaweza akampenda mwanamke na kulala nae, lakini mwanamke anaweza akatumia hata miezi ili amfahamu mwanamme kuwa atakuwa really mtunzaji wa watoto.
Kwa hiyo kutoka nje kwa mwanamme hiyo ni hulka yetu jamani
 
kimekuingia eeeeeh... ukome, jirekebishe na ufanye hayo niliyokueleza ndo ki-b/f chako kitatulia.

kumbuka kuwa mwaminifu sio ukalipize kisasi
samito nimekushtukia huwezi game kisawasawa
 
eti shosti mtu ana score ya 10% basi umsifie, mwenye 50% afanyiwe nini????

unatafuta mashabiki eeh..... pole!

we ndo ulie score 10 kwa mumeo afu unataka akupe 50% kwann asiende akajiongeze nje...?
do what I tod u, sio kwamba nakushambulia Maytina!
 
samito nimekushtukia huwezi game kisawasawa

U jst seek cheep popularity, hakuna mwanaume hawezi game, ni uvivu wakutojituma ndo unawasumbua. chezea mtu ilioshiba na haina papara...

eeh usije ukanisumbua ngoja niweke angalizo;

NAFANYA KWA MKE WANGU TU
 
Mimi ni mwaminifu sana...! Lakini njoo kwangu uone kama nina tatizo...!
 
unatafuta mashabiki eeh..... pole!

we ndo ulie score 10 kwa mumeo afu unataka akupe 50% kwann asiende akajiongeze nje...?
do what I tod u, sio kwamba nakushambulia Maytina!
samito najua hunishambulii ila nashangaa unapopinga hoja ya wanaume na umalaya
 
Back
Top Bottom