Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

Kwani wanaume wana-cheat nani?? na wanawake nao ni hivyohivyo....hawaaminiki.

Du nadhani ni kumwaga ugali na mwingine mboga. Wanawake wanacheat kidogo lakini kabla ya kuolewa wanazini zaidi ya wanaume nendeni vyuoni muone wanawake wanavyochukua waume za watu na wao wakitegemea kumpata mume mwaminifu.
 
nilijua mmeachana ulivyokuja na bandiko la kutaka mwanaume wa kwako peke yako, mwenye kipato cha chini

utakayeweza kumcontrol,
shosti husahau
sikuwa nimejua umalaya ni jambo lisiloepukika kwa mwanaume ila kwa sasa hainisumbua
 
Cjui, kwa kwel research inatakiwa,2siconclude eti pesa, uhandasome inaweza kuwa determinant ya wa2 kucheat kimapenzi, hongera maryina kwa kugundua tatizo, wale researcher 2fanyeni kaz mana hivi vi2 vinatukocost wote km jamii,
 
kweli nna tatizo, Mana nampenda wifi yako saaana!
Na namuheshimu, sababu ananiheshimu... Bado huamini tu kuwa kuna wanaume tuna real love? na kuna wanawake (tena wengi tu) ambao ni infidel to their lovers?
Huyo wako anaruka ruka sana nini maria?

hii mada kama ya ukweli kidooogo
 
Back
Top Bottom