Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
We unafikiri utafiti ni kufanya mapenzi kitandani au...Kama huu utafiti umefanywa na jinsia ya kiume basi kweli mambo ni mengi muda mchache
We
We unafikiri utafiti ni kufanya mapenzi kitandani au...
Mwanamke bhana, ni utafiti hufanywa Kwa njia nyingi Kma vile observation, question, interview n. K
Ok, vizuri Kma unaelewa.Naelewa sana mkuu
Hivi wanaume weusi wanapenda kutongoza na kuhonga sana ,ni udhaifu unaotokana na rangi yao naona..Mkuu weusi na weupe kwa maana ipi?
Waafrika na mabara mengine
Au weusi kama wa Hamornize na weupe wa Mobeto?
Kama ni ule wa wazungu na wa Africa hapo sina uhakika!
Ila kama kibongobongo mkuu umechemka na sababu ni kwamba mademu wengi huwa hawawafagilii wanaume weupe!
Toka lini dume liking'aa mipaja kuliko demu ake!!!
Sent using Jamii Forums mobile app