Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
- Thread starter
-
- #221
Hawana msisimko kabisa. Kama wa coca colaInaweza kuwa kweli dada
Manaan mm binafsi madem wakizungu hata aweje na avaaje sisimki kama dem wa kiafrica atakavyo nisisimua,
Yaani sina mzuka na wazungu kwenye ngono.
Mke wangu cheupe bana,huwaga wanasema tumefanana yaani wacha tu utatuonea mbali tu komaa na type yakoSiwezi kuwapata.na hamuwezi kunipata. Coz Mimi cheusi mangala
Conclusion zako we Mbibie.. Utafikiri mpiga ramliwnaume weupe wanaringa ringa sana na hawanaga pesa wengi ila wanajua kuvaaa
hapana mkuu nawapata vyema hawa cheupe dawa wazee wa maringo tehConclusion zako we Mbibie.. Utafikiri mpiga ramli
Yan we unavyoongea kijinga nkikushika lazima ukimbie na chupi mkononi kauli zako juu ya majembe wanUme wa kazi ngozi nyeupe yameniudhi sanaSina sababuu yoyote.na wala sijawahi kuzinguliwa na mwanume Mweupe. Akinitongoza si nninakataa. Sina mapenzi na weupe
Umemrushia pabaya hilo jiweDefence mechanism hyo .....bad stereotype acha kuonesha hizo hisia kwa watu...hazina faida yyte utaumia zaidi ukiendelea kusoma comment coz unategemea wengi wakusurpot ili upunguze maumivu unayojisikia nayo ....very sory .
KashaumiaDefence mechanism hyo .....bad stereotype acha kuonesha hizo hisia kwa watu...hazina faida yyte utaumia zaidi ukiendelea kusoma comment coz unategemea wengi wakusurpot ili upunguze maumivu unayojisikia nayo ....very sory .
Imenibidi nicheke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji133] [emoji133]
Wala. Nafata moyo unavyoonaUna vilements vya ubaguzi wa rangi.
(Just kidding)[emoji13]
[emoji23][emoji23]Mmmh uzi wa wanawake kumbe byeee[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .ndo basiii tena huwezi nishika. Ili niprove[emoji23][emoji23] hihiii. Eti na chupi mkononi.Yan we unavyoongea kijinga nkikushika lazima ukimbie na chupi mkononi kauli zako juu ya majembe wanUme wa kazi ngozi nyeupe yameniudhi sana
Nipo very happy. Sina stress zozoteeeDefence mechanism hyo .....bad stereotype acha kuonesha hizo hisia kwa watu...hazina faida yyte utaumia zaidi ukiendelea kusoma comment coz unategemea wengi wakusurpot ili upunguze maumivu unayojisikia nayo ....very sory .
Wala hata hajafanya chochote. Labda cha kuniumizaUmemrushia pabaya hilo jiwe