Wanaume weupe hatupendi uchafu

Mimi n mweupe,ila baba ndio mweus mchaga wa kilimanjaro.Ila mama mzungu kutokea israel,mim mwenyewe nmechukua asili ya mama yangu.Uwez ukasema nnasil ya kiafrika.Weng hapa dar wananiita mwarab,ila cpend kudharau watu weus kwa maan n watu kama wengine.Mbn mama hakumdharau baba,na akamua kuishi naye.ila usiseme wazungu,sema waarab maana hao na shetan hawna tofaut
 
wewe utakuwa mweupe maana una akili😁
 
Naona ishakua VITA ngumu humu πŸ˜‚
 
Wewe sio mweupe, ni mweusi. Ni kwamba tu una rangi ya chai maziwa. Labda kama wewe ni mzungu(caucasian).

Halafu hayo mambo ya rangi ya ngozi hayana maana mkuu, dunia inapambana kuondokana nayo.
Nikimtukana unalalamika Lamo acha ukorofi, si umejionea lakini anavyowachamba na mademu zenu kuhusu michupi yenu..!! 😹😹
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…