Prove itYou are wrong.
Prove itYou are wrong.
Money can buy only material things and not everything.
Mhubiri 10:19 NEN
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, nao mvinyo hufurahisha maisha, lakini fedha ni jawabu la mambo yote.
Love, Happiness, Health, Time etc
Hakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
naunga hoja kwa mikono na miguu
Asantee 👏👏Money can buy only material things and not everything.
WordMhubiri 10:19 NEN
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, nao mvinyo hufurahisha maisha, lakini fedha ni jawabu la mambo yote.
Pesa ni kitu kizuri kua nacho lakini sio solution kwa kila kitu, kuna mzee mmoja sasa hivi ni marehemu nlienda kumtembelea akiwa anaumwa pesa alikua nayo ya kutosha ila ugonjwa umemshika vibaya akaniambia "mwanangu hapa akitokea mtu akaniponya nitampa kila kitu Changu" tangu siku hiyo hua namshukuru Mungu kwa zawadi ya afya bora vingine ni ziadaSasa ni bora uje kurealize hayo ukiwa na pesa tayar.. imagine huna pesa alafu na unavyo vihitaj navyo huna
Wa simbaNgoja nikamuulize Muamedi kama pesa ni kila kitu?
hapo hapanHadi hapo kwenye kudundwa?
KabisaSema tu unawaza anasa ndo maana unaona inafanya kila kitu.
Ina mipaka yake.
Tuongee yote, pesa muhimu. Hiyo Amani ya moyo Ni matokeo ya kuridhika. Mfano huwezi kuwa na amani ukiwa na njaa Ila pesa itakufanya upate chakula unachokipenda na hapohapo ndipo amani ya Moyo inakuja.Hakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
You just fooling yourself. Money can't buy love but pesa inanunua vitu vinavyotengeneza na kudumisha love. Nikimletea nguo nzuri mke wangu, tukatengeneza trip nzuri automatically itaongeza love Kati yetu. And those things needs money. Jamani umaskini haununui chochote.Love, Happiness, Health, Time etc