Jamaa kashashiba pilauembu piga picha tuone hizo pesa unazomaanisha zinapaswa zifananaje?
Hakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
Amani ya moyo na nafsi inapatikanaje bila hela??Hakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
Mbona inanunua mke na papuchi au navyo ni material things....furthermore money inaweza kukupa peace of mind. Ulishawahi kuwa na hela ya mawazo weye...yani ni stress tupuMoney can buy only material things and not everything.
Mbona inanunua mke na papuchi au navyo ni material things....furthermore money inaweza kukupa peace of mind. Ulishawahi kuwa na hela ya mawazo weye...yani ni stress tupu
Acha utani weye peace of mind sio material thing ata siku moja. Papuchi nayo siyo material thingThose are material things.
Yaani mie naona ukishakuwa na hela majanga mengine ujitakie mwenyeweAmani ya moyo na nafsi inapatikanaje bila hela??
Acha utani weye peace of mind sio material thing ata siku moja. Papuchi nayo siyo material thing
Kha🙄 wee jamaa mbona unaishusha thamani papuchi hivyo.Sijamaanisha peace of mind ni material thing, Papuchi is.
Kha wee jamaa mbona unaishusha thamani papuchi hivyo.
Vitu gani hela haiwezi kununua?Sijaishusha thamani ila ni one of material things money can buy, kuna vitu hela haiwezi nunua, tuko pamoja?
Vitu gani hela haiwezi kununua?
Natumaini amekuelewa. 🤗Love, Happiness, Health, Time etc
Sasa wee kwanza love ipo moja tuu nayo ni ya kutoka kwa mama. So whe u say money cant buy love there realy is no love out there.Love, Happiness, Health, Time etc
Natumaini amekuelewa.
Sasa wee kwanza love ipo moja tuu nayo ni ya kutoka kwa mama. So whe u say money cant buy love there realy is no love out there.
Happiness well i can buy happiness...kwa mfano mie furaha naipata nikiweza kila wikend kupiga threesome...so money buys happiness for me.
Health well ...i have witnessed two cases where money ndio ilitudisha afya ya mtu lah sivyo walikuwa wanaenda six feet under.
Time ...well thays just inane becoz if i have enough money i can travel to the geographic nkrthpole and i will literaly be standing on all tome zones so there u have it i have bought time. Enzi za conconcord nikipanda zango pale london nikitua zangu newyork tayari nilishanunua muda.