Wanaume wenzangu tumeelewana?

Inatokea kwa watu wachache saana,
mzee msuguri katimiza miaka 102, yuko hai na wake zake wote wa5.

Kikawaida wanaume tunawahi zaidi kufa, mitaani familia nyingi zina mama, baba kaenda.
Kweli chief inawezekana siri moja wapo ya huo umri ni kutokuwa na stress za mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…