Wanaume wenzangu, tuache roho mbaya. Tunaumizana wote

Wanaume wenzangu, tuache roho mbaya. Tunaumizana wote

Achana kabisa na hizo notion,utakuja juta.Inategemeana na malezi aliyoyapata huyo mwanamke.Wengine ni kunguru,hawafugiki.Hatuoi kwa kuhurumiana
 
Achana kabisa na hizo notion,utakuja juta.Inategemeana na malezi aliyoyapata huyo mwanamke.Wengine ni kunguru,hawafugiki.Hatuoi kwa kuhurumiana
you are right bro. Ndo mana pia naliangalia kwa umakini. Anaweza niletea usodoma . namuweka pending. But pia kama wanaume tunadhima ktk baadhi yao
 
Kama unampenda na unamuamini give her a chance....ila kama unamuonea huruma tu muache mdada wa watu aende zake.
 
Huu uzi ni mwiba kwa wengi wa wanauke wa humu maana akili zao ndipo zilipoishia.
MALEZI
MALEZI
MALEZI
MALEZI
 
Back
Top Bottom