Wanaume wenzangu, tuache roho mbaya. Tunaumizana wote

Wanaume wenzangu, tuache roho mbaya. Tunaumizana wote

Usichukulie ndoa kizembe hvyo.....ongea na Mungu wako usimkilize yeye anasemaje kuhusu hio ndoa.

Ila ki lobbyist hapo hakuna ndoa yenye uhai wa muda mrefu. Ndoa is half hell half paradise, needs big heart and brain to take care of it.

Usioe kwa kuhurumiana!

Ila pia bado uelewa wako wa wanawake kwenye mahusiano ni 5%. Huwajui wanawake bado. Endelea ku explore zaidi, huu uzi utakuja kuukana kama sio kukimbia ID yako
NAUNGANA NA WEWEW....MAANA YE ANAONA HURUMA IL AHAJUI UHALISIA KABISA...EXPERIENCE MATTERS JAPO SIMPINGI AU KUMKATALIA ILA ASIOE MTU KWA KUMHURUMIA
 
Usichukulie ndoa kizembe hvyo.....ongea na Mungu wako usimkilize yeye anasemaje kuhusu hio ndoa.

Ila ki lobbyist hapo hakuna ndoa yenye uhai wa muda mrefu. Ndoa is half hell half paradise, needs big heart and brain to take care of it.

Usioe kwa kuhurumiana!

Ila pia bado uelewa wako wa wanawake kwenye mahusiano ni 5%. Huwajui wanawake bado. Endelea ku explore zaidi, huu uzi utakuja kuukana kama sio kukimbia ID yako
Wengi wanachanganya huruma na upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini Jf watoto bado mpo wengi!! Nimesoma comments but you're not men enough!!

Unamwonea mwanamke huruma kwa kusikiliza stori zake?!??

Hakuna viumbe waongo kama wanawake. Vijana, waogopeni wanawake wanaotafuta huruma kwa walichofanyiwa na ma X wao. WAOGOPENI.

Mwogope mwanamke akianza kujitetea anaanza kulia.
 
mbona kamwambia ukweli wake wote? ....lipi unadhania anaweza kuwa kamficha?? embu kuwa man enough utuambie....lol

mtoa mada,i guess usi rush,take your time to get to know her....usiende next step kama you are in doubt...

Asikwambie mtu,cha muhimu ni chemistry kati yenu...

if she is making you happy,and ukiwa nae karibu you are happy then she is worth keeping,

hapa wengine wanakuambia kuhusu aliyoyafanya huyo dada,

hawajui mangapi yamefanywa na wapenzi wao na hawajayasema...

huyo kwa kua kasema basi wanamcondemn...

wangejua machafu yaliyofanywa na wapenzi wao wa sasa hivi,wangekua wapole kwenye hii mada,....😀😀.
 
Wanawake are good in communication, na hata ukiangalia watoto wanaozaliwa watoto wa kike huanza kuongea kwanza kabla ya wa kiume
Mwanamke ktk mwendo wa km1 kama anatembea kwa miguu anaweza tembea miendo mitano tofauti ktk mionekano mitano tofauti kiasi cha kumsahau ==> Hayo yoote ni mawasiliano

Huyo ameishakusoma wee ni mtu wa aina gani hivyo akuletee swaga aina gani ingawa na wewe ni Pretender lakini una kahuruma flani hivi
1.Sikuzote huwa tunajidanganya kuwa nikimuowa nitambadilisha hicho kitu hakunaga
2.Unamuowa kwa sababu unamuonea huruma ? au kuna sababu nyingine ?
Usijifiche kwenye huruma ili usipate nafasi ya kujitafakarisha au ku observe madhaifu mengine

3.Loving is risk taking. but it should never be uncalculated risk

Ciao
IMG_20181227_195738.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona kamwambia ukweli wake wote? ....lipi unadhania anaweza kuwa kamficha?? embu kuwa man enough utuambie....lol

mtoa mada,i guess usi rush,take your time to get to know her....usiende next step kama you are in doubt...

Asikwambie mtu,cha muhimu ni chemistry kati yenu...

if she is making you happy,and ukiwa nae karibu you are happy then she is worth keeping,

hapa wengine wanakuambia kuhusu aliyoyafanya huyo dada,

hawajui mangapi yamefanywa na wapenzi wao na hawajayasema...

huyo kwa kua kasema basi wanamcondemn...

wangejua machafu yaliyofanywa na wapenzi wao wa sasa hivi,wangekua wapole kwenye hii mada,....😀😀.
Reb jaribu kunisoma tena, nimemshauri asiamini story. Hivi nkiamua kumsingizia X wangu nashindwa nini? Haiwezekani mwanamke aliwe T, azalishwe na kuachika, abakwe, amfumanie mpenziwe. Yeye tu ndo anatendwa?;?!

Labda kama alikua anaishi kwenye nchi zenye vita au alitekwa na Boko Haram.

Wanaume so wakatiri kwa kiwango hiki.
 
uko sahihi kuwa na mashaka kama yote amefanyiwa yeye tu.….mengine atakua kaongezea na kachumvi. may be....ila naweka Akiba ya maneno..ukiangalia wanaokuzunguka bila kua biased utagundua kuna wachache ikija swala la mahusiano wako very unfortunate...,...sentesi yako ya mwisho wapo wanaume makatiri……..yes wapo,you well know that!lol
 
I wish nkufanyie ukatiri maana so kwa kuniwekea ligi namna hiii

Just kidin'________________
 
Hakuna mwanaume anawaza kidemu demu kama huyu mleta mada yani umuoe mtu kisa umeona alikua anateseka? Sijui ameumizwa sana? Hayo ni matatizo yake kama haujui vitu kama hivyo vya kuathirika kisaikolojia ndo vutatumika kama fimbo ya kukuchapia
 
Najua mnaweza msisikie ila ngoja niseme tu,
Nimekua na mahusiano na bint ni takriban miez saba, nimejitahid kumfanya awe free sana kuongea kila anachojisikia na kufunguka. Kikweli historia yake ni mbaya sana , alishazaa ingawa mwanzoni alinificha ( hakua free, ametembea na wanaume za watu, na mengine kibao likiwemo la 0713. Lkn chanzo ni mwanaume aliempenda sana. Najua kuna wanawake waovu na hata mambo ya sodoma wanayaomba wao. Ila majority wanalazimisha na watu ambao wanawapenda sana hivyo huona haina jinsi.

Sote twajua kua mama, dada au wadogo zetu ( wanawake) ni dhaifu. Sasa tjnapotumia udhaifu huu kumuumiza mtu sio vema, wengi tunaowaharibu hatutaki kuwaoa.
Tunapenda ile sifa kuona mwanaume mwenzio ameoa af ujisifu kua mke alieoa umepiga sana na hata marinda ushafumua, haikusaidii kitu. Tuache roho mbaya. Katk hili Mungu awalaani wanaume wanaowafanyia uonevu wanawake kwa kigezo kua wanawapenda sana hawana jinsi hivyo wanatumia udhaifu huo.

Niko nae huyu bint. Anataman nimuoe, natamana pia nimuoe nimtulize maumivu ttzo ni kua sijui kma ataacha mambo ya sodoma au yataibuka, cjui kma tukikorofishan atakua mbogo akijua nami ni wale wale.
Huwa nawaonea sana huruma wadada walotulia alafu wakafanyiwa uhuni.
PEOPLE ARE NOT FAIR, ARE GREED.
Mwanzoni nilipoanza kumsoma nilitaka nimchukie kua ni mshenz tu lakn ikanijia akili nijue ni nini tatizo, mimi ni mwanaume niliekamilika ila nasema tu NAWACHUKIA SANA BAADHI YA WANAUME.

Mungu awape ulinzi wadada wote wanaojirinda na kujiheshim wasifikie mikono ya mafirauni.

Mungu awatie nguvu na awaokoe wadada wote wanaoteseka kwa jina la KUPENDA kwa wanaume mafirauni na awape akili ya kijinasua.

Kwa mliozaa watoto wa kike na hata wakiume wapeni elimu ya kutosha. Dunia tulionayo inahitaji sana watu wenye huruma na uelewa.

Mungu awakutanishe wale mafirauni wa kike na wakiume wasiosikia la mnadi swala wala la muadhini waumizane wao kwa wao.

Namaliza kwa kusema " nakupenda sana M sena naogopa usije badirika ukaona mimi ndie wa kunilioizia kisasi.
Ukioa kwa Sababu ya kumuhurumia ipo siku utatamani kurudisha siku nyuma na muda utakuwa umekuacha
Kama unataka KUOA OA kwasababu zako binafsi isiwe Sababu ya huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuviziana tu, sisi wenyewe tukiwapenda sana hua wanaturarua mfuko yetu, wanatudanga weee halafu wanaenda kugongwa na maboya wengine.
Huyo demu wako ukiishi kwa miaka miwili tu lazima uataiona rangi yake halisi.
Ila banaa sisi wanaume tukishapenda tunakuaga ni mazuzu kwelikweli yaani mtoa mada mi hata sikulaumu ila tambua tu kua yajayo yanafurahisha kwa hio we jiweke tayari tu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Hlf wanaume wa humu jf wananishangaza sana, wanadhani eti ukimla mwanamke tigo ndo umemkomoa, umemuonea/au cjui utamuumiza zaidi kihisia pale ukija kumwacha..kitu ambacho si kweli Rebeca 83 Mzigua90 Miss Natafuta Shunie Demiss demi
binadamu wa kawaida ambae yuko courage and considerate hawez mfanyia mtu tena amuitae mpenzi kitendo cha ajabu na udharimu kama hicho amabacho kina madhara kibao biologically , spiritually and even socially. subir mwanao wakike akitinduliwa af umepeleke wewe mwenyewe akapigwe boma asafishwe
 
Ukioa kwa Sababu ya kumuhurumia ipo siku utatamani kurudisha siku nyuma na muda utakuwa umekuacha
Kama unataka KUOA OA kwasababu zako binafsi isiwe Sababu ya huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikua naangalia kama naweza kumrepair broken human being ingawa . sasa soma soma yangu inaonesha kua walioanza huo mchezo ni ngumu kuuacha sijui kama nikweli so naogopa asije utafuta huko mbeleni
 
Back
Top Bottom