Wanaume wenzangu tokeni nje ya box

Akili hazitakaa sawa tutadata jamani 😀😀
 
Sijamaanisha upungufu......wanaime wengi wamegeuka kuwa wadada
 
Wenyewe mna kamsemo kenu, hamuwezi kuegemea ukuta mmoja, ukibomoka hamtakuwa na sehemu ya kuegemea..
Sasa sijui nani anayependa ukiwa baada ya ukuta kubomoka[emoji23].
 
Solution Ni mwanaume kubadilika, nyie ndio viongozi wetu, ukiharibu wewe baba lazima mama na watoto wayumbe pia. Na mwanamke akiharibika balaa lake si la kitoto
Sasa mbona tukibadilila nyie bado mnaendelea kutupanga foleni?
 
Hapa mesoma Comments nkajua AKILI ZA WAPUMBAVU ZILIVYO 😡 😡
JIWE GIZANI
 
Kwani wanaoliwa wamebakwa si wamependa wenyewe, Tena wengine wanalilia kabisa? Humkomoi mtu Kama kafanya kwa Raha zake. Hasara unapata wewe unayeingiza dudu lako la thamani kwenye mavi.
Hasara mnapata wote,yeye kaingiza mwenye mavi wewe unatembea umeweka matambala mavi yasikutoke,,alafu hata kucheka huruhusiwi zaidi ya kutabasam tu,maana ukicheka 0713...nayo inacheka na mimavi hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijamaanisha upungufu......wanaime wengi wamegeuka kuwa wadada
Sasa hapo mwanamke anahusikaje? Si ni wanaume nyie ndio mmebadilika kuwa wadada? Kaeni mjitafakari wapi mnakosea hadi mnatamani kuwa wanawake. Na bahati nzuri hao wanaume nyie ndio mnawageuza kuwa wadada hivyo mna nafasi kubwa ya kuokoa.
 
Sasa mbona tukibadilila nyie bado mnaendelea kutupanga foleni?
Umebadilika baada ya kuwavuruga wangapi?

Sasa inabidi utulie kama unanyolewa maana it will take time kama ambavyo ilichukua muda kwa wanawake kubadilika. Taratibu mtabadili dunia[emoji23]
 
Sasa mbona tukibadilila nyie bado mnaendelea kutupanga foleni?
Lini mmebadilika? Tumeshapangwa sana Hadi tumezoea na mnaenda mbali zaidi mnasema nature yenu tunawaangalia tu. Nani kakuambia sie tunaridhika na mwanaume mmoja hatutamani? Ni vile mwanamke amefundishwa heshima na kutokuwa na mwanaume mwingine zaidi ya mumewe but unapoona huthaminiwi na uvumilivu wote matokeo yake ndio haya. Tutawapanga mpka mtuue mbaki wenyewe.
 
Hebu nikae kimya kuhusu hili maana sio mada
 
Umebadilika baada ya kuwavuruga wangapi?

Sasa inabidi utulie kama unanyolewa maana it will take time kama ambavyo ilichukua muda kwa wanawake kubadilika. Taratibu mtabadili dunia[emoji23]
Mimi tayar nilishanyolewa saiv nipo poa kabisa nawashaur wanaume wenzangu tu
 
Kwakwel Dada yangu kwa hii hatua mliyofikia sidhani Kama Kuna mwanaume MWENYE akili timamu atakuja kuwaamini Tena, naomba nisisitize kidogo WANAUME HATUTAKIWI KUWAAMINI WANAWAKE HATA CHEMBE. Mi saiv mpenz wang huwaga namwangaliaga tu anavojiongelesha Wala hata sibishani nae ila moyoni najisemea tu(sikuamini)
 
And the vice versa is so true. Usidhani unaaminiwa hapo ulipo
 
Waeleze ila vichwa ngumu sidhani Kama watakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…