buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,323
- 7,772
Habarn wandugu
Guyz ngoja niende Moja kwa Moja kwenye mada
Nimeona wanaume wengi wanaumizwa na mapenzi even me, tunaumizwa kwa kujua au kwa kutokujua Kama tunaumizwa
Hawa wanawake saiv sio Kama wale wa zaman so unapokua na mwanamke tafadhari Sana kuwa makin, naomba nitilie mkazo hapa WANAUME TUWE MAKINIIIII✍✍✍
Hawa viumbe saiv wamekuwa wajanja Sana yaani unaweza ukawa naye na ukahisi upo peke yako ila tuwekane sawa Hawa viumbe wanakuaga na mahusiano na watu wengine tofaut na tunavofikiria
Unapokua na mwanamke(kwa wale ambao hawajaoa) inabid uiweke akili yako sawa KWAMBA haupo peke yako hata kama anakuambia maneno gan sijui, kaa ukijua Hawa viumbe wanauwezo mkubwa was kutunza Siri tofaut na tunavowafikilia. Unaweza ukamuona mwanamke wako yupo na wewe Kama boya vile ila ukweli wewe ndio boya yaan anakuchora tu unavovimba limkichwa lako ukihisi wewe ndo kidume Tena dume la nyani kumbe maskin ya mungu ukwel ww ni Kama kumbikumbi tu ila hujijui
Huwaga wanakauli Moja HV et sijawah kupenda ila wewe ndo nimetokea kukupenda, wengine watakuambia et huji kupata mwanamke Kama Mimi, my friend be very careful with this word, mwingine atakuambia wewe ndo mwanaume unaweza kumfikisha kunako na wewe basi unajiona ndo mgongaji Bora wa mwaka, wao wanakuchora tu na ww unazid kuvimbisha Hilo limkichwa lako utafikiri nguruwe dume
I'm warning you be very careful,. Kutokana na mfumo wa maisha wa Sasa ni wanaume wachache Sana wanaoweza kumtosheleza mwanamke huu ni ukwel mchungu Sana na ni ngumu kidume KUAMINI kwasababu wanaume always tunapenda kusifiwa kwamba tunaweza ngono ila ukweli ukweli utabak mioyon mwa wanawake wenyewe.
Nimeandika hayo including me japo vitu vng naweza fanya kwa mwanamke ila hyo hainipi kiburi Cha kuukataa ukweli mchungu narudia Tena Huu NI UKWELI MCHUNGU SANA.
vijana msijihangaishe na madawa ya kuongeza nguvu za kiume Ili muendane na falsafa ya kuwa vidume wa kuwatosheleza wadada coz hayo madawa ndo yamewafanya wamama leo hii watembee na watoto wadogo coz waume zao walishajiharibu na hayo madawa kwa kuwaridhisha wanawake ambao nw hawapo nao kwenye mahusiano
Usiharibu mwili wako Wala pesa zako ili kumteka mwanamke Hawa viumbe kaa ukijua wamekuweka foleni
Experience is powerful than qualification, leo nimeona niwakumbushe tu ile experience niliyonayo juu ya Hawa wapenz wetu wa kike
BUZITATA HALICHUNWI HATA KWA LIMBWATA LA KITANGA