Binafsi Niko hivyo pia,Nina miaka 15 ya ndoa Na ndo njia Pekee natumia Na sijawahi kukosea
Daraja la Mto Mbeni siku hizi lina njia mbili. Moja mbele nyingine nyumaUtavuka daraja ukilifikia
Pole kwa kukutwa na bwana pepsi, withdrawal naifanya hata kwa mke wangu ni suala la umakini, sasa wewe ulichelewa mzigo ukaingia ndipo ukajifanya kuchomoa, jiandae kulea kijana acha kulalamikaHakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method)
Habari zenu wapendwa
Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga nje inawezekana lakini 99% utampa mtu mimba.
Nasema haya sababu yamenikuta na nimeshuhudia watu wakifunga ndoa za mkeka sababu ya mimba kisa kumwaga nje.
Sichochei uzinzi ila hakikisha una kondomu hata 3 za dharula.
Na nyie wanawake mpunguze genye za kijinga mnatuponza kupata watoto kabla ya muda.
Withdraw method imenisaliti
Hauna kifua...utaweza kumwaga nje wewe?Hakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method)
Habari zenu wapendwa
Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga nje inawezekana lakini 99% utampa mtu mimba.
Nasema haya sababu yamenikuta na nimeshuhudia watu wakifunga ndoa za mkeka sababu ya mimba kisa kumwaga nje.
Sichochei uzinzi ila hakikisha una kondomu hata 3 za dharula.
Na nyie wanawake mpunguze genye za kijinga mnatuponza kupata watoto kabla ya muda.
Withdraw method imenisaliti
aangalie inawezekana kapigwa..Kitanda hakizai haramu mkuu[emoji4].
wee ushapigwa tukio tayar, na kwa uboya wako uumekubali.
Sasa Tulia ikuingie.
Usisingizie withdraw [emoji2]
Mtoto akizaliwa kapime DNA. Inawezekana kuna mwamba hakumwaga nje, zigo umebebeshwa wewe.Hakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method)
Habari zenu wapendwa
Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga nje inawezekana lakini 99% utampa mtu mimba.
Nasema haya sababu yamenikuta na nimeshuhudia watu wakifunga ndoa za mkeka sababu ya mimba kisa kumwaga nje.
Sichochei uzinzi ila hakikisha una kondomu hata 3 za dharula.
Na nyie wanawake mpunguze genye za kijinga mnatuponza kupata watoto kabla ya muda.
Withdraw method imenisaliti
Wanawake WAHUNI Ni rahisi kuwakamata Wanaume wasiokua na misisimamo thabiti.aangalie inawezekana kapigwa..
Namshangaa Sana mtoa mada.Hio ni safest way ever.... Kuliko njia nyingine yoyote...
Haina madhara yoyote... Kama imekushinda usisite kujifunza tena...
Huyu kapakaziwa mimba yeye kamwaga nje wenzake wamemwaga ndani alafu mimba kapewa yeyeBinafsi Niko hivyo pia,
uyu mtoa mada asitake kutushawishi ujinga hapa.
Vinginevyo kafeli yeye kuitumia