Wanaume wenzangu msitume nauli

kuna ukweli aisee...mwendo wa boda boda buku 2 tu mtu anataka buku 30 dah!
Ukicheki hata anapoishi hakuna tax wala bajaji....
 
Kuna demu nimemtumia nauli leo ili aje maeneo ya ilala ili tukuch kuch mpaka muda huu hajaja
Sasa hivi ananiambia amepatwa na dharura
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta mzee demu mwenyewe hata hujawahi kumwona umedata tu na sauti kwenye simu. . . Fasta mwanangu unakopa hela kwa mshikaji unatuma nauli afu simu inazimwa. . . Unabaki umekodolea simu mimacho unasubiri kama atakupigia walau aseme nimepata. Kimyaa[emoji33][emoji33][emoji51][emoji135]
 
Kuna demu aliniomba nauli aje songea ye anakaa morogoro nilivomtumia ndio ikawa mwisho wa mawasiliano.... Ikapita miez 3 akanitafuta tena na kuleta visingizio visivo na kichwa wala miguu kisha akasema nimtumie tena saiv yuko free atakuja

ITAENDELEA
Atafutae hachoki hata akichoka anakuwa keshapata, tuma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…