Wanaume wenzangu msidanganyike oeni,lakini kabla muwe makini

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,847
Natumai kila mtu ama wengi tumekuwa tukizisoma nyuzi mbali mbali zikihusisha mambo ya ndoa na ndugu wengi wakiwashauri watu kuwa wasioe na wala wasiwajali wanawake kwa sababu ni wasaliti.na hoja nyingi mfano wa hizo.

Ukisema usioe kwa sababu eti wanawake wasaliti : tambua kwamba hata kama hutooa na utaamua kuwa na girlfriend tu basi nina imani utataka awe wa peke yako,hautopenda kuona ana kusaliti.je ikitokea girlfriend wako ana kusaliti utafanyaje?

Hicho utakachokifanya vipi ishindikane kukifanya wakati upo kwenye ndoa tayari na huyo mkeo?

Tunapowatupia wanawake lawama kwamba ni wasaliti kwetu wanaume basi pia lazima tujue kwamba UKIONA MWANAMKE WAKO AMEKUSALITI WEWE MWANAUME BASI KUNA MWANAUME MWENZIO AMEHUSIKA.sasa kwa nini huyu mwanaume aliyehusika hatumtii hatiani badala yake tunamlaumu mwanamke kana kwamba anakusaliti wewe mwanaume kwa kuwa ana date na mwili wake pekee ilhali kumbe kuna kidume mwenzio anatoka nae?

Kwa taarifa yetu wanaume ni kwamba : wanaume tunaongoza sana kwa kuchepuka na kuzini kuliko wanawake.mfano KAHABA mMoja tu anaweza kupata wateja 10 kwa siku,je unafikiri wateja hawa ni wanawake wenzie?..... Yes ni wanaume ambao tunalalamika kwamba wanawake wasaliti sana.

Kwa munasaba huu nadhani hata wanawake wanahaki ya kusema wasiolewe kwa sababu ya wanaume tuna tabia chaafu.hapana! Hapana!.

Ndoa sio jambo la bahati ambayo haitakiwi kufanyiwa maandalizi,ndoa sio inaweza kuwa ajali ambayo ilikuwa inaweza kuepukika,au inaweza kuwa neema na bahati ambayo iliandaliwa.

Wakati mwingine wanaume tunadhani kwamba future ndo kigezo chetu cha kuchagua mke kwa kuangalia na muda uliopo,na pia tukasahau huko nyuma na kuitupa mkono(NYUMA)

Ndoa inahitaji kujitoa na uvumilivu kama ambavyo unahitaji kujitoa na uvumilivu katika biashara yako.ndoa inaweza kuwa na wakati mgumu katika baadhi ya nyakati kama bavyo biashara nayo inaweza kuwa ngumu katika baadhi nyakati.jee kutokana na ugumu wa biashara katika baadhi ya nyakati uko tayari kusitisha biashara yako kwa sababu ya kupungua wateja na visababu vya kuvumilika? Bila shaka hapana.sasa mbona Ndoa unakimbilia kuilaumu?

Kabla hujaingia kwenye ndoa pasi tambua kwamba ndoa ni sehemu ya maisha.na hakuna sehemu ya maisha ambayo haina changamoto hata kidogo,ipo ? Kama ndio nitajie hapa duniani.

Bila shaka kila sehemu ya maisha inachangamoto,na ndoa lazima IWE NA CHANGAMOTO TU ,LAZIMA.unakimbia kuoa kwa sababu ya changamoto za hapa na pale?

Ok huwenda mkeo mpenzi kakusaliti kabisa na hukutegemea.je biashara yako ikifa hutaanzisha ingine milele au utajipanga upya na kuwa makini zaidi kuanzisha biashara ingine ambayo unahakika haitokuja kutokea anguko kama la mwanzo?

OKEY..hiyo ndio ndoa basi,ina changamoto wakati mwingine changamoto sio kwa sababu kwaanba HUKUPATA MWENZA SAHIHI,AU MWENZA ANACHEPUKA hapana.inachangamoto kwa sababu tu ni sehemu ya maisha.

Hakuna maisha yasiyo na changamoto katika dunia hii.na njia pekee ambayo ni ngumu na inaweza kukufanya uwe strong katika eneo fulani basi ni changamoto zinazotokana na eeneeo hilo.

Ndoa ni sehemu ya maisha ambayo inaweza kuufanya moyo wako uwe imara zaidi ikiwa tu ulipitia misukosuko Mingi katika ndoa na ukaweza kuihimili manake kila msukosuko mkubwa ukikutoke basi mwisshowe itakuja misuko suko midogo,sasa ikiwa uliiweza misuko suko mkikubwa vipi uishindwe midogo ?

Yes maisha ya ndoa hayataki kubahatisha kuchaguana.lazima ujue mwanaume na mwanamke kwamba IKIWA ULIFELI KUWA MUAMINIFU KWA MCHUMBA,BASI PIA UTAFELI KUWA MWAMINIFU KWA MKEO.

Ikiwa ulikksuwa na wanawake watano na mchumba mmoja wa malengo.basi jua ukioa utakuwa na mke mmoja na michepuko mingi pia.

Usitarajie kuona umuhimu na uzuri wa Ndoa kama tu unachokipata kwa mkeo kuna wengine wengi nje wanaweza kukupa.

Ikiwa ulishindwa kuwa mwaminifu na kutulia na mchumba mmoja wa ndoa unadhani kwamba MKE MMOJA atakutosha wewe ambaye mke mwenyewe huwenda ni yule mchumba wako ambaye wakati upo nae ulikuwa na vimada wengine?
Vipi utaachana na vimada hivyo?

Basi Ndoa sio mbaya.ni nzuri.biashara sio mbaya ni nzuri.vyote vina changamoto kwa sababu ni sehemu ya miasha yetu hivyo kama wanaadamu tukabiliane nazo.

Laikini ndoa haiwi njema kwa wale aambao sio.wema.wema wa ndoa unatokana na wema wa wanandoa walivyo.

Kama ambavyo unatakiwa uwe makini kuanzisba biashara na kujua faida zake na changamoto basi pia kuwa makini kuanzisha mahusiano na mtu na kumjua alivyo na alikuwaje kuhusu atakuwaje hatujui future bali tunamatumaini na future kutokana na muda uliopita na huu iopo.

Usitegemee kuanzisha mahusiano na dada ambaye ni kahaba na mpaka sasa ni kahaba alafu ukategemea kwamba baadae atakuwa mwema.sawa inawezekana lakinii kumbuka kwamba past na present ina mchango mkubwa sana juu ya future ya mtu itakuwaje.

VIJANA WENZANGU TUWE MAKINI KUCHAGUA WANAWAKE AMBAO TUTATAKA KUANZISHA NAO MAISHA YA NDOA.
 
Nzuri sana hii mkuu, the problem is that most people are too afraid to make mistakes or fear that they will make mistakes from their choice
Na hakuna kizuri ambacho kinapatikana bila changamoto na risk pia wakati mwingine.

Wanaume wengi hatuko siriaz na kuchagua.
Mtu anasema sina mpango wa kumuoa napiga naaacha,ila akikuta meseji za ovyo za michepuko kwenye simu ya huyo ambaye hana mpango wa kuoa baasi analalamika sana na kusema wanawake wasaliti.
 
Kweli mkuu. Tunapenda kulaumu wengine ila hatupendi kijilaumu sisi wenyewe
 
Natumai kila mtu ama wengi tumekuwa tukizisoma nyuzi mbali mbali zikihusisha mambo ya ndoa na ndugu wengi wakiwashauri watu kuwa wasioe na wala wasiwajali wanawake kwa sababu ni wasaliti.na hoja nyingi mfano wa hizo.

Ukisema usioe kwa sababu eti wanawake wasaliti : tambua kwamba hata kama hutooa na utaamua kuwa na girlfriend tu basi nina imani utataka awe wa peke yako,hautopenda kuona ana kusaliti.je ikitokea girlfriend wako ana kusaliti utafanyaje?

Hicho utakachokifanya vipi ishindikane kukifanya wakati upo kwenye ndoa tayari na huyo mkeo?

Tunapowatupia wanawake lawama kwamba ni wasaliti kwetu wanaume basi pia lazima tujue kwamba UKIONA MWANAMKE WAKO AMEKUSALITI WEWE MWANAUME BASI KUNA MWANAUME MWENZIO AMEHUSIKA.sasa kwa nini huyu mwanaume aliyehusika hatumtii hatiani badala yake tunamlaumu mwanamke kana kwamba anakusaliti wewe mwanaume kwa kuwa ana date na mwili wake pekee ilhali kumbe kuna kidume mwenzio anatoka nae?

Kwa taarifa yetu wanaume ni kwamba : wanaume tunaongoza sana kwa kuchepuka na kuzini kuliko wanawake.mfano KAHABA mMoja tu anaweza kupata wateja 10 kwa siku,je unafikiri wateja hawa ni wanawake wenzie?..... Yes ni wanaume ambao tunalalamika kwamba wanawake wasaliti sana.

Kwa munasaba huu nadhani hata wanawake wanahaki ya kusema wasiolewe kwa sababu ya wanaume tuna tabia chaafu.hapana! Hapana!.

Ndoa sio jambo la bahati ambayo haitakiwi kufanyiwa maandalizi,ndoa sio inaweza kuwa ajali ambayo ilikuwa inaweza kuepukika,au inaweza kuwa neema na bahati ambayo iliandaliwa.

Wakati mwingine wanaume tunadhani kwamba future ndo kigezo chetu cha kuchagua mke kwa kuangalia na muda uliopo,na pia tukasahau huko nyuma na kuitupa mkono(NYUMA)

Ndoa inahitaji kujitoa na uvumilivu kama ambavyo unahitaji kujitoa na uvumilivu katika biashara yako.ndoa inaweza kuwa na wakati mgumu katika baadhi ya nyakati kama bavyo biashara nayo inaweza kuwa ngumu katika baadhi nyakati.jee kutokana na ugumu wa biashara katika baadhi ya nyakati uko tayari kusitisha biashara yako kwa sababu ya kupungua wateja na visababu vya kuvumilika? Bila shaka hapana.sasa mbona Ndoa unakimbilia kuilaumu?

Kabla hujaingia kwenye ndoa pasi tambua kwamba ndoa ni sehemu ya maisha.na hakuna sehemu ya maisha ambayo haina changamoto hata kidogo,ipo ? Kama ndio nitajie hapa duniani.

Bila shaka kila sehemu ya maisha inachangamoto,na ndoa lazima IWE NA CHANGAMOTO TU ,LAZIMA.unakimbia kuoa kwa sababu ya changamoto za hapa na pale?

Ok huwenda mkeo mpenzi kakusaliti kabisa na hukutegemea.je biashara yako ikifa hutaanzisha ingine milele au utajipanga upya na kuwa makini zaidi kuanzisha biashara ingine ambayo unahakika haitokuja kutokea anguko kama la mwanzo?

OKEY..hiyo ndio ndoa basi,ina changamoto wakati mwingine changamoto sio kwa sababu kwaanba HUKUPATA MWENZA SAHIHI,AU MWENZA ANACHEPUKA hapana.inachangamoto kwa sababu tu ni sehemu ya maisha.

Hakuna maisha yasiyo na changamoto katika dunia hii.na njia pekee ambayo ni ngumu na inaweza kukufanya uwe strong katika eneo fulani basi ni changamoto zinazotokana na eeneeo hilo.

Ndoa ni sehemu ya maisha ambayo inaweza kuufanya moyo wako uwe imara zaidi ikiwa tu ulipitia misukosuko Mingi katika ndoa na ukaweza kuihimili manake kila msukosuko mkubwa ukikutoke basi mwisshowe itakuja misuko suko midogo,sasa ikiwa uliiweza misuko suko mkikubwa vipi uishindwe midogo ?

Yes maisha ya ndoa hayataki kubahatisha kuchaguana.lazima ujue mwanaume na mwanamke kwamba IKIWA ULIFELI KUWA MUAMINIFU KWA MCHUMBA,BASI PIA UTAFELI KUWA MWAMINIFU KWA MKEO.

Ikiwa ulikksuwa na wanawake watano na mchumba mmoja wa malengo.basi jua ukioa utakuwa na mke mmoja na michepuko mingi pia.

Usitarajie kuona umuhimu na uzuri wa Ndoa kama tu unachokipata kwa mkeo kuna wengine wengi nje wanaweza kukupa.

Ikiwa ulishindwa kuwa mwaminifu na kutulia na mchumba mmoja wa ndoa unadhani kwamba MKE MMOJA atakutosha wewe ambaye mke mwenyewe huwenda ni yule mchumba wako ambaye wakati upo nae ulikuwa na vimada wengine?
Vipi utaachana na vimada hivyo?

Basi Ndoa sio mbaya.ni nzuri.biashara sio mbaya ni nzuri.vyote vina changamoto kwa sababu ni sehemu ya miasha yetu hivyo kama wanaadamu tukabiliane nazo.

Laikini ndoa haiwi njema kwa wale aambao sio.wema.wema wa ndoa unatokana na wema wa wanandoa walivyo.

Kama ambavyo unatakiwa uwe makini kuanzisba biashara na kujua faida zake na changamoto basi pia kuwa makini kuanzisha mahusiano na mtu na kumjua alivyo na alikuwaje kuhusu atakuwaje hatujui future bali tunamatumaini na future kutokana na muda uliopita na huu iopo.

Usitegemee kuanzisha mahusiano na dada ambaye ni kahaba na mpaka sasa ni kahaba alafu ukategemea kwamba baadae atakuwa mwema.sawa inawezekana lakinii kumbuka kwamba past na present ina mchango mkubwa sana juu ya future ya mtu itakuwaje.

VIJANA WENZANGU TUWE MAKINI KUCHAGUA WANAWAKE AMBAO TUTATAKA KUANZISHA NAO MAISHA YA NDOA.
Asante...say no moreila mkuu umeshindwa kunibakishia hata vingine nimalizie mimi yaani umeamua kuandika vyote peke yako? Tabia mbaya sana hiyojokes aside, you've spoken my heart.
 
Ujumbe umetufikia walengwa kilichobaki ni kuufanyia kazi, mungu akuzidishie kheri nyingi.
 
Mlkuu umeandika mada yako kwa kutumia 'hadidu za rejea' za utamaduni gani?

Kila jamii ina tamaduni zake kuhusu mambo ya ndoa na mahusiano.

Andiko lako limeingia doa kubwa kwa kutumia tamaduni za kizungu zisizo zetu!

Mila na tamaduni zetu sisi Africans linapokuja suala la mahusiano ama ndoa, wanaume humiliki wanawake kwa haki kwa njia ya kuoa ama kusarandia(kutongoza).

Sisi hatuoani kama wazungu wanavyoita, sisi tunaoa(kumiliki).

Tunatafuta na kumiliki, ndiyo maana katika tamaduni zetu kuna ndoa za mitala.

Hapo sijaona ukihoji kwamba kwa nini mwanamke naye asihodhi wanaume zaidi ya mmoja?

Likija suala la mahusiano yasiyo rasmi, pia wanaume tunatafuta na hatutafutwi.

Uueni kwanza utamaduni wa mahusiano tulionao hivi sasa ndiyo muwe na haki ya kujenga hoja kama hizo!

Mambo yenu haya ya 50/50 ambayo ni kama 'katiba pendekezwa' katika tamaduni zetu kamwe hayawezi kukidhi mahitajio ya tamaduni na mila zetu kwa sasa.
 
Unajua chanzo cha hilo neno 'kuoana'? Hata huko kwa wazungu limetokana na haya mambo ya kutaka wanawake nao waanze kutafuta pesa kuwasaidia waume zao majukumu wakati in nature mwanamke aliumbwa kukaa nyumbani kufanya kazi za ndani na kulea mume na watoto na mwanaume aliumbwa kutoka nje kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto

Sasa shida inakuja siku hizi wanaume wengi wanalalamika wanasema hawataki wanawake magolikipa wanataka wanaotafuta hela na wahudumie familia halafu mbaya zaidi wao kusaidia kazi za ndani na kulea familia hawataki wanasema ni kazi za kike sasa hapo wazo la kuoana litaondoka kweli? Kuoa siyo kutongoza au kuchumbia tu ni pamoja na kutekeleza majukumu kama mume sasa wanaume wengi wanakimbia majukumu yao halafu bado wanataka waseme wameoa
 
Kipi kimekufanya uone kwamba nimeweka 50/50 katika post yangu
Mlkuu umeandika mada yako kwa kutumia 'hadidu za rejea' za utamaduni gani?

Kila jamii ina tamaduni zake kuhusu mambo ya ndoa na mahusiano.

Andiko lako limeingia doa kubwa kwa kutumia tamaduni za kizungu zisizo zetu!

Mila na tamaduni zetu sisi Africans linapokuja suala la mahusiano ama ndoa, wanaume humiliki wanawake kwa haki kwa njia ya kuoa ama kusarandia(kutongoza).

Sisi hatuoani kama wazungu wanavyoita, sisi tunaoa(kumiliki).

Tunatafuta na kumiliki, ndiyo maana katika tamaduni zetu kuna ndoa za mitala.

Hapo sijaona ukihoji kwamba kwa nini mwanamke naye asihodhi wanaume zaidi ya mmoja?

Likija suala la mahusiano yasiyo rasmi, pia wanaume tunatafuta na hatutafutwi.

Uueni kwanza utamaduni wa mahusiano tulionao hivi sasa ndiyo muwe na haki ya kujenga hoja kama hizo!

Mambo yenu haya ya 50/50 ambayo ni kama 'katiba pendekezwa' katika tamaduni zetu kamwe hayawezi kukidhi mahitajio ya tamaduni na mila zetu kwa sasa.
 
Asante...say no moreila mkuu umeshindwa kunibakishia hata vingine nimalizie mimi yaani umeamua kuandika vyote peke yako? Tabia mbaya sana hiyojokes aside, you've spoken my heart.
Aiseeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom