Wanaume wenzangu mnakwama wapi?

Ndefu sana nmesoma senstes mbili
Tu

Lakin ukitaka mahusiano mazur
Yasiyo Na miznga ww date Na size yako
Walah hakuna usumbufu
 
Hii ndio aina ya wanawake naowapenda na huwa nasisitiza jamaa zangu ndio wajihusishe nao. Personaly karibia wanawake wote niliowadate wako hivyo.

Wale mademu matonya wanipitie mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amen!!!
Sio amen
 
Ukiona hivyo ujue kuna wanaopigwa vizinga kufidia pale unapowalamba bure
 
Ungesema mmoja au at most wawili may be

Otherwise bado utakuwa mgeni wa wanawake

Ukweli ni kuwa mwanamke kama hakupendi Pesa ndio kipaombele chake. Mtoa mada yupo sahihi kwa asilimia zote.

Kumpa pesa ni jambo la kawaida na ndio maana mtoa mada kasema kuwa yeye mwenyewe anatoaga lakini si kwa wale wanawake ambao kila muda huomba omba kama Mayatima.

Ukiona unatumia pesa sana kwa mwanamke ujue hujiamini na kuna uwezekano mkubwa hupendwi.
 

Anakupenda ili iweje

A) unamuoa ?

B) unampa kazi ajira ya kudumu ?

C) Anakupa uchi kisha kila mmoja anasema

Nyinyi vijana Acheni ujinga kwenye umalaya hakuna kupendana nikudanganya ..... nikutapeliwa hakuna mkweli me or kesho mkimaliza kila mmoja anaanza kivyake...... mwanamke anataka nini ziada..tangible thing hata ukitokomea she has at least claimed something valuable
 
Hata mimi nashangaa hao wanawake siwapati asee na sijawahi kuwapata toka enzi.
Kama huyu wa sasa hivi kwanza ukitaka kumpa pesa anakuuliza huna vitu vya msingi vya kufanya?. Mimi nimeajiriwa na nakutaka wewe sio pesa zako sababu material things naweza kuafford kununua mwenyewe dah niliona aibu hii siku ndo mana simcheat kabisa.

Ukiona unatanguliza pesa mbele jua hupendwi tu sababu siku ukikosa ndo umeachwa.
 
Yaani umezunguka weeeee bado umepata ka loophole ka kututumbukiza humo ndani wanawake wa JF[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 


Majibu yote yapo wazi kabisa. Mwanamke.anakupenda ili umuoe, uishi naye, Awe mama kwako, Umuheshimu na mambo mengine kama hayo.

Lakini Mwanamke asiyekupenda ndio hupenda fedha kwa something Valuable. Mbaya zaidi unazungumzia habari za umalaya Ilihali mada inazungumzia kitu kingine.

Familia masikini ndizo huendekeza wanawake na mambo ya kijinga kama hayo. Familia masikini ndio huwa na dhana kuwa mwanamke ili akupende basi unapaswa umpe pesa. Mtu hupendwa kama alivyo na si pesa wala kitu kingine.

Nina uhakika wewe na watu wenye mtizamo kama wako mmetoka kwenye familia masikini ndio maana mnawaza kama watu masikini.

Tafuta mchumba aliyetoka familia bora yenye pesa uone mtazamo wake kuhusu hili ndipo utajua kwa nini masikini akipata matako hulia mbwata.
 
😡😡 Kweli maskini tumechokwa
 
Ukimpinga mtoa maada na umesoma vizuri bandiko lote, nenda Dom kamchukue jobo mkaanze dozi pale milembe
 

Umeona?
 

Umeoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…