Wanaume wenzangu hii ikoje

Hiyo inaitwa, "zimwi likujualo halikuli likakwisha" ndo maana amerudi kwako baada ya kunyengwa.
 
Kwa hiyo unamuonea wivu mwanamke kwa mahusiano ya masaa 48 na chat za simu?

Hawa ndo wanaume, kwamba ulifikiri wewe ndo upo mwenyewe? Pumbavu kabisa..

Hemu ngoja wahuni wenzako wanakuja wakupe mwongozo marizawa.
 
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
Bro umenielewa vibaya huyo bibie.. nilitana nae safarini December lakini nilimla mara moja.

Once that mahusiano ya mara kwa mara yalianza mbaka hapa Mambo yalipofikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…