Wanaume wenzangu hii ikoje

Acha kuwadanganya wenzio
 
Na ww ulikuw fala.
Mie ningeenda huko Lodge, sometimes si kila kitu usubiri kitokee prevent it.

Kuna Manzi mmoja mpk kesho anasema kila akiw ktk mtihani wa kunicheat anaogopa (why) anajua nitajua au nishajua nini anataka kufanya.
Huyo anakupenda kweli bro.
 
Umenishauri & kuniponda humo humo.
 
We jamaa Safi , since Jana kapiga 10+ calls mixer sms ili tuonane.
I'm totally rejected zote.
 
Hakuepukiki ndio ila isiwe waziwazi kama ivyo. Huyo binti kajionesha kabisa
Sasa sii vizuri ikiwa wazi wazi maana yake unajua huyu ni kubutua tuu hamna kuweka kambi.
Hao ndio wazuri kuliko wale wanaojifanga angels alafu mwanawane unakuja pigwa butwaaa
 
Ushachapiwa mkuu, au wewe ndo ulikua unamchapia mtu, ushauri wangu wa bure kabisa. Huyo achana Nate. Utakuja kunishukuru baadae
 
Wakati mwingine vijana mnapenda kujichosha demu umekutana nae kwenye bus ukampata siku hiyohiyo wewe unaweka malengo kabisa alafu eti unakua na wivu, inawezekana alikuzawadia tu ila ana mtu wake. Achana nae
 
Endelea na. Mishe zako mkuu Wala asikusumbue.

Wala usimwaze

Mimi Kuna mmoja Niko nae hapa kati tulikuwa moto sana akaona Nampa sana attention akajiona matawi na Mimi si lolote akaanza leta mbwembwe.

Nimekula bati nilikuwa nime mute kutongoza miezi 3 nimeanza upya

Yeye daily ananitafuta mi Niko bize na mishe zangu nitamcheki mwezi mmoja baadae[emoji1][emoji1787] ila Incase atanicheki tena.

Otherwise nikama nimemtumpa kwenge dustbin kwa Muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…