Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,384
- 11,538
Huyo muache tu atakupotezea mudaHabarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Bibie angekuwa kanizimia means, toka first trip angekuja magetoni?Huyo muache tu atakupotezea muda
Bahati yako hukumtumia 150,000 π
Ungecheka na nafsi yako move on bro
Mwite aje.Habarini!

Tena sio second choiceBibie angekuwa kanizimia means, toka first trip angekuja magetoni?
So mi second choice ?
Wewe ukipewa mgonjwa .. utamuua kwa menenoTena sio second choice
Ni last choice mkuuu hapo ana 10 choices already haaahaaa π³
Tumia akili bro daaah huyo kaliwa nje nje connect dots tu uoneInsecurities hazijawahi kumwacha mtu salama,wewe acha kuwa na was wasi juu Yake,mwambie atimbe ghetto ule mzigo Kisha asepe kwao.
Mtu hata hujaoana naye na tayari ushaanza kufeel insecure eti ooh Ana mwanaume mwingine, na itakuwaje Sasa Kama ukioa?
Man up!
Bro since nimemla December, Leo hii kaja afu kalala mtaani kwangu mi nimelala apeche..π€ naona misingi imegeukwa.Insecurities hazijawahi kumwacha mtu salama,wewe acha kuwa na was wasi juu Yake,mwambie atimbe ghetto ule mzigo Kisha asepe kwao.
Mtu hata hujaoana naye na tayari ushaanza kufeel insecure eti ooh Ana mwanaume mwingine, na itakuwaje Sasa Kama ukioa?
Man up!
ππππ Kwani uongo mjini mipango tu πWewe ukipewa mgonjwa .. utamuua kwa meneno
"Nilitaka kutuma bro tarehe 30, yeye akasafiri 29 bila hata maelezo hela kapata wapi napewa tu info. Kwamba nakuja uko nikajua Leo nacheka na papuchi. Suddenly nimelala apecheUlimtumia 150K?
Huyo achana nae
Mwite aje.
Ukiigusa tu mwambie...mbona umeliwa hivi karibuni?
Ukiwa siriaz balaa then mkazie usoni utaona anavyonyong'onyea.
Uso siku zote huongea ukweli.
Mbinubya pili hii ni hatari acha nibaki nayoπ
Tena ni 150,000 with no pussy πππUlimtumia 150K?
Huyo achana nae
Dah roho inauma mbaka kifua.. afu nimeona ni dharau ya karne yani atoke kule aje atombewe wilaya ambayo nipo!Tumia akili bro daaah huyo kaliwa nje nje connect dots tu uone
150K si unapata 2nd class b*tch kabisaTena ni 150,000 with no pussy πππ
Daaah wajinga waliwao tu
Mwite aje.Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Nitavunja mahusiano mengi humu mkuuMkuu Glenn ebu shusha hiyo mbinu tuione