Wanaume wenye ndoa

tsix

Member
Oct 17, 2015
86
61
Jamani hivi kuna wakati unakuwa humpendi mkeo hadi unajuta kumuoa kwa sababu ya mchepuko.
Naombeni sababu kwa nini? Why dd u mary her in a first place?
kama ulimpenda sana mwanzo how come mwanamke mwingine akubadilishe especially baada ya kupata mafanikio ya kimaisha?
Jamani nina maswali mengi sana juu ya wanaume wenye familia..
What z so special kwa mchepuko?
 
It is very possible kwamba mchepuko unakuzidi ujanja, ila ukitaka umshike mumeo asikusumbue
1. Acha mdomo (usiongee sana kama redio)
2. Usafi, hii inajumuisha mwili, mavazi, nyumba etc mwanamke hupaswi kufuga manyoya ya kwapani had yanabalika rangi.
3. Mapishi, pika vizuri then mpendelee mumeo, sio pesa atafute yeye siku akileta jogoo yy anafaidi shingo na kichwa akati akienda mchepukoni anatolewa hadi mifupa ya paja then analishwa steki.
4. Koleza utamu wa nanihino.
I humbly so submit
 
It is very possible kwamba mchepuko unakuzidi ujanja, ila ukitaka umshike mumeo asikusumbue
1. Acha mdomo (usiongee sana kama redio)
2. Usafi, hii inajumuisha mwili, mavazi, nyumba etc mwanamke hupaswi kufuga manyoya ya kwapani had yanabalika rangi.
3. Mapishi, pika vizuri then mpendelee mumeo, sio pesa atafute yeye siju akileta jogoo yy anafaidi shingo na kichwa akati akienda mchepukoni anatolewa hadi mifupa ya paja then analishwa steki. I humbly so submit
Assume kila kitu unafanya...
Alafu bdo zee
 
Hapo kitendawaili. Kuna jamaa namfahamu mke wake alivyo wa ukweli mzuri handling smart upendo care lkn jamaa anatoka na kamchepuko kabinti kaajabu kweli na nyumbani hakuthamini
 
Michepuko inakuja when you GET WHAT YOU DIDNT BARGAIN FOR IN MARRIAGE.

Wanawake bongo wavivu, angalia Insta kina Resty mtoto mmoja mwili huooo, wakati enzi zake alikuwa Resty, Resty kweliiii. Kiukweli wanawake wengi wakiolewa wape 2 yrs ni miturbo ya hatari afu wakali balaa. sasa kama uli invest kwenye looks ni balaa.

Wanaume wengi malaya, wachepukaji ni wenye UWEZO, hawajazoea kushika hela, kipindi unaoa huna gari, huna lolote zaidi ya kende zako zilizofuliaaa, sasa unakuta uachukua mwanamke wa chini ya hadhi yako. Ukipata hela sasa, umengaa ndo unajua tabia yako. Wanaume wengi broke ass very faithfull, nani atamkopesha mme wa mtu? Thubutuuuuuuu.

Kushikilia kanuni za 1930s kwenye kuchagua mke, zile A,B,C awe mcha Mungu, awe kabila lako, awe na kazi, awe mzuri, awe na tabia njema. Sasa JE KWAKO DO THESE MEAN ANYTHING? We mpagani, maluuni mpenda starehe mke wa hivi lazima uchepuke. Pombe hanywi wakati wewe kwako maji, muziki hapendi, mshamba ahavai unavotaka, mda wote kajistiriii, hayuko open for sex trials lazima uchineee.
 
pata pesa tujue tabia yako. wanaume wengi tukipata pesa tabia zetu zilizokua zimefichwa na kukosa pesa zinajitokeza. alafu ukiwa na pesa wanawake wazuri wanakuhitaji wenyewe, yaani wanajileta hawaangalii wewe ni mume wa mtu wala nini.
 
pata pesa tujue tabia yako. wanaume wengi tukipata pesa tabia zetu zilizokua zimefichwa na kukosa pesa zinajitokeza. alafu ukiwa na pesa wanawake wazuri wanakuhitaji wenyewe, yaani wanajileta hawaangalii wewe ni mume wa mtu wala nini.
Mkuu pata pesa tujue tabia ako hii inategemeana na mtu ilaaa hii ukiwa na pesa wanawake wanajileta wenyewe asee nina prove kabsaa mm mwenyewe mbele za MUNGU ni kua unagandwa kama kupe kama una tamaa unapita nae
 
Nimenikumbusha mbali sana. nakumbuka hapo zamani nilienda kwenye project fulani hivi Mkoa wa Tanga. nikakutana na warembo wazuri waliokuwa wamekuja kwenye training...... kwa tamaa zangu nikatongoza wote na nikapitia wote. walivyojuana, niliwakosa wote
 
Sio Nyakati zote wanaume kuwa na Mchepuko na kusahau familia kuna sababishwa na mapungufu wake zao. Bali ni tamaa. Kwanza by Experience mwanaume anayefanya hivyo maendeleo hayo hayadumu baada ya muda anafulia anakuja kuomba msamaha kwa mke. Wanawake msikubali kirahis, kama ahttp://
 
Unajua wanaume wazaifu kwenye mapenzi akipata anayejua mambo kiuno kinazunguka kama mota, k inavuta kama sumaku na kiuarufu flani cha k basi na kesho atarudi na mtondogoo
 
  • Thanks
Reactions: irk

Similar Discussions

Back
Top Bottom