Wanaume wengine ni hasara tu

Wakati mwingine tunakosea kumbe maskini wala sio akili zake anazotumia wameshamuharibu kabisa na dawa ni kupelekwa kufanyiwa maombezi mahali popote penye Upako wa Kuvunja nguvu zote za giza.
 

dah hongera yake jamaa kafanikiwa 99.9999999...% maana ni kati ya 99.999999% wanaume wanao fanikiwa kumiki mwanamke vema. tatizo la wanaume mkinyimwa ATM wakienda kusukia mnalalamika, wakiwapa mnalalami duh, huyo jamaa angekuja hapa atoe somo amefanyaje?
 
kulikuwa na umuhimu gani kutaja kabila maana tabia haina kabila maana hata mimi nalamba mshahara wa mke wangu tofauti ni kwamba anapata chochote anachohitaji na hata kadi yangu na yeye ruksa kuchukua vijisenti kadri ya nafsi yake ipendavyo.
 
mzee kama unaubaguzi wa kikabila...afu ndoa ya sister ako haikuhusu meku,anacho pata dada ako mpaka kamkabizi shemeji kadi ya atm unakujua,we uchuna fata life yako
 

We unasumbuliwa na ukabila na fikara za kibaguzi, Ni ugonjwa mbaya sana!
Hivi binti anataka au anatakwa kuolewa?
 
Heading yako unasema wanaume wengine ni hasara tu kungekuwa hasara dada yako angekuwa amesharudi nymbani kwenu acha ale maisha na shemu.
 
mumuache aendelee na maisha yake bila kumsapoti chochote....
 

Mwenyewe karidhika nyie kelele za nini? Hata kama hajui ATM inafananaje kuna anavyoviona ambavyo ninyi hamvioni ndio maana yuko radhi hata kuomba msaada ili tu asikikose hichooooo akionacho yeye!... kitu kupenda acha kabisaaaaa!
 
kulikuwa na umuhimu gani kutaja kabila maana tabia haina kabila maana hata mimi nalamba mshahara wa mke wangu tofauti ni kwamba anapata chochote anachohitaji na hata kadi yangu na yeye ruksa kuchukua vijisenti kadri ya nafsi yake ipendavyo.

THINKERS! Huraaaaaay!
 
Dada yako ndio hasara!!!
Atawapigia mumpige tafu mpaka pesa ya underwear!!!!
 
Mmmhh naskiga eti wapare in wabahiri San sijui kweeli ?????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…