naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Waacheni kama walivyo, no need to help..
Si walichaguana wenyewe? Let them eat their fruits!
Watoto wenye vichwa ngumu kama hao huwa wanajirudi baada ya kuwa isolated na kuonja joto ya jua!
Mkiendelea kumsaidia mtampa kichwa!
Shw is matured you know! Let her be alone..