Lishetani kabisaAcha tu huyu baba ni mzimu mi nasema kwa sababu kwa kawaida hivi hapana
Naamini mwanaume huwa anamtamani hata binti yake na mama asipokua makini baba anaweza akamlala binti ambae hayuko kwenye umri wa kujiamuliaKuna mmoja aliniambia.unatakiwa umuonje mwanao kama kaiva.alafu ndo uwakaribishe majirani.
Umeona eeehh!mwishoni huyu binti hatokaa amthamini au kupenda jinsia me anaweza kua anawaumiza kila siku kwa hvi vinavyotokeaHuyo mama pamoja na kuogopa iko siku atachukua maamuzi mabaya kwa huyo baba. Huyo binti atakua atapata wanaume hatajali wala kuwathaminj kwa kuwa atakua ameshaharibika kisaikolojia na hao wanaume watakuja hapa JF kumsema mwanamke wa aina yake bila kujua alipitia mangapi katika ukuaji wake.